Yanga mnaenda Algeria kuvaa medali sio kuleta kombe

Yanga mnaenda Algeria kuvaa medali sio kuleta kombe

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Ni vema tukawekana sana juu ya Mchezaji wa Marudio wa Fainal kati ya YANGA VS USM Algeria.

YANGA kuifunga USM ni ndogo ya Mchana najua wapo watakaopinga lakini ukweli utabaki palepale.Ushindi wa YANGA ni Asilimia 30 tu.

Mchezo huo utakuwa sawa na kugombania Tonge mdomoni .FIGISU FIGISU aa kufa mtu zitafanywa na USM
Kadi nyekundu kwa Mayele ya bila KOSA itakoka. Offside kwa YANGA zitatawala Mchezo Ili mradi USM abebe KOMBE

Mwisho tuwakumbuke WAHENGA walisema.

"MCHEZA KWAO HUTUNZWA" Ndio maana nasema YANGA Watarudi na MEDALI TU.
 
Bora sisi tunaenda Algeria na uhakika wa medali upo, nyie nendeni kwa waganga mkaveshwe hirizi.
 
Umepoaa hadi hurumaa Eve, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waarabu sio watu wazurii kabisaaaa
Nasema tena hatuna kifo cha kiumeee tukutane tarehe 3 ya fainali.
Simba endeleeni na katiba mpya
 
Back
Top Bottom