Yanga mnakwama wapi? Kwanini uchaguzi msifanyie ukumbi wa kimataifa kama Simba?

Ndo maana kuiga kizuri si mbaya..Kwahivyo sasa Simba Kimataifa zaidi na wewe twende Kimataifa.
HUNA HOJA TENA KUNDULE LA KWAKO ULIKUWA HULIONI...??? YAANI MWAKA MMOJA HUU NDIO KILA KITU MMESAHAU....???
 
Nimeziona hizi picha asubuhi nikajua ni wateja wanachagua kuku kwenye banda. Daaah
 
Kama Yanga walivyokuwa wakitamba wakati ule na fedha za Kanjibai Manji lazima kuwe na shaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume anayetamba kwa hela za mwanaume mwenzie ni wa kutilia shaka
 
Hivi mikia hamkung'oa viti ukumbini?
 
Tatizo yanga wana inferior wakijiita team ya wananchi ndyo wanajiona ni masikini
 
Hivi nyie mashabiki mbùmbumbu kwanini mnapenda kujiahibisha hivyo?
 
Hahaaaaa wanaume kama mabinti. Mambo ya yanga we yanakusumbua nn? Mbona mliwahi kwenda na Noah songea hatukuongea? Ukinunua nguo mpya hupaswi kuitupa.
 
Mikia sio kila kitu mnafananisha. . Ubingwa tumechukua mara nyingi, Mechi tumewafunga zaidi, Magoli tumewafunga zaidi. . Tukutane Serena hotel 11 /5 live Azam TV. . Wananchi wakimtaja mwekezaji mpya. Za chini ya carpet baba Jesca mgeni wa heshima
 
Thubutuu yakee...Vyura endeleeni kuota ndoto..!
Mikia sio kila kitu mnafananisha. . Ubingwa tumechukua mara nyingi, Mechi tumewafunga zaidi, Magoli tumewafunga zaidi. . Tukutane Serena hotel 11 /5 live Azam TV. . Wananchi wakimtaja mwekezaji mpya. Za chini ya carpet baba Jesca mgeni wa heshima
 
kikubwa zaidi kupapenda hapo police mess ni usalama huwa hizi team zinaogopa fujo,hata leo simba kukiwa na tension mkutano utapelekwa hapo
 
Mwenyekiti Msolwa
Makamo Mwakalebela
Yanga mpya hiyo
 
Unataka kusema hapo nyie mmejificha? Hamuonekani mtani?
Taarifa za chini ya carpet, Mo you njiani kuiacha Club ya Simba. Sasa tuone kama njaa haitawaua nyau nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…