HUNA HOJA TENA KUNDULE LA KWAKO ULIKUWA HULIONI...??? YAANI MWAKA MMOJA HUU NDIO KILA KITU MMESAHAU....???Ndo maana kuiga kizuri si mbaya..Kwahivyo sasa Simba Kimataifa zaidi na wewe twende Kimataifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUNA HOJA TENA KUNDULE LA KWAKO ULIKUWA HULIONI...??? YAANI MWAKA MMOJA HUU NDIO KILA KITU MMESAHAU....???Ndo maana kuiga kizuri si mbaya..Kwahivyo sasa Simba Kimataifa zaidi na wewe twende Kimataifa.
Mwanaume anayetamba kwa hela za mwanaume mwenzie ni wa kutilia shakaTumefanya kulingana na kipato chetu.
Ninyi kila kitu alifanya Mo
Hivi mikia hamkung'oa viti ukumbini?Hivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.
Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?View attachment 1088759View attachment 1088760View attachment 1088761View attachment 1088762
Tatizo yanga wana inferior wakijiita team ya wananchi ndyo wanajiona ni masikiniHivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.
Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?View attachment 1088759View attachment 1088760View attachment 1088761View attachment 1088762
Hivi nyie mashabiki mbùmbumbu kwanini mnapenda kujiahibisha hivyo?Hivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.
Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?View attachment 1088759View attachment 1088760View attachment 1088761View attachment 1088762
Mikia sio kila kitu mnafananisha. . Ubingwa tumechukua mara nyingi, Mechi tumewafunga zaidi, Magoli tumewafunga zaidi. . Tukutane Serena hotel 11 /5 live Azam TV. . Wananchi wakimtaja mwekezaji mpya. Za chini ya carpet baba Jesca mgeni wa heshima
Kwa kuolewa na tajiri mmojaHuwezi kuilinganisha Simba na vitimu vya bongo. Simba taifa kubwa
Taarifa za chini ya carpet, Mo you njiani kuiacha Club ya Simba. Sasa tuone kama njaa haitawaua nyau nyieUnataka kusema hapo nyie mmejificha? Hamuonekani mtani?