Yanga mnatia taifa aibu nie si wakufanya hivi

Yanga mnatia taifa aibu nie si wakufanya hivi

Habar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo ishi nikajiuliza Nini tatizo
Bahat nzuri nikaona walipofikia duuuu ama kwel njaa ni mbaya Yanga iliyokuwa ikilala hotel kubwa Leo ndo wamefikia lodge ya sh elfu 5 wapo hapa country side Lodge wanaomba chakula mpaka kwa wanafunzi Wa Tumaini chuo
Ama kwel njaa haina baunsa mnaomba chakula kwa wanafunzi isitoshe wanafunzi hao ni certificate na diploma bora wangekuwa degree wenye boom mlaaniwe
Na wanafunzi Wa Tumaini kuweni makini na hao omba omba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aibu walishakua nayo Simba, Mjumbe wa sasa wa kamati ya utendaji Mwina Seif Kaduguda Alimua azuie Mipira, Jezi, na Vifaa vya Mazoezi kwakua Club ya Simba iIishindwa kumlipa fedha zake alizo wanunulia wachezaji Chapati tena akilalamika kudhulumiwa kwenye vyombo vya habari .
Lakini Wanachama wa Simba walivyokua Mbumbumbu wamemchagua Kaduguda yuleyule kwenye kamati tendaji. Lage aliposema Simba ni mbumbumbu hakukosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kupoteza muda kuongea na POST YENYE UMBEA,UZANDIKI, NA UTOVU WA NIDHAMU....YANGA NI TIMU INAJIELEWA NA KILA MECHI KULINGANA NA ENEO ...TUNA BADGET YA KILA MECHI NA UTARATIBU WA WACHEZAJI KULA /KULALA/KUSAFIRI..NK

UWE MPOLE TUCHUKUE POINT ZETU TATU....na tupishane mnaporudi baada ya MAMBO KWISHA KESHO NATIONAL STADIUM....
Habar yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo ishi nikajiuliza Nini tatizo
Bahat nzuri nikaona walipofikia duuuu ama kwel njaa ni mbaya Yanga iliyokuwa ikilala hotel kubwa Leo ndo wamefikia lodge ya sh elfu 5 wapo hapa country side Lodge wanaomba chakula mpaka kwa wanafunzi Wa Tumaini chuo
Ama kwel njaa haina baunsa mnaomba chakula kwa wanafunzi isitoshe wanafunzi hao ni certificate na diploma bora wangekuwa degree wenye boom mlaaniwe
Na wanafunzi Wa Tumaini kuweni makini na hao omba omba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Yanga wa ajabu sana mechi ya Simba aliyobamizwa Simba ilikataa kuchukua mapato ikamwachia Yanga akapewa Mil.165 mara kazimaliza? au Yanga wanacheza kamari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom