Hatua ya kwanza PAIN ( Utopolo unbeaten team inaongoza ligi Diarra sifa kibao clean sheet, Aziz Ki anapiga matobo tu sifa kibao, Mayele goli 15 peke yake ).
Hatua ya pili DENIAL ( Yanga mbovu tu sisi tumecheza na CSKA Moscow, Tumealikwa super cup, tumebeba makombe four years).
Hatua ya tatu ACCEPTANCE ( Yanga wanatupiga kama Ngoma , Kuna Mayele, Aziz Ki na Musonda hatari sana, Yanga wameplan sherehe kubwa ya mafataki Arusha kwa 100 unbeaten games, Yanga Bado mechi 6 wachukue kombe Tena second year, Yanga hatuwawezi wametuzidi mpira, Manara wamebeba, Diamond wamebeba , Barbara wamebeba, wote hawa hawataki stress za kushangilia vitu vibovu.
Hatua ya nne SHIFT - Moyo umekubali kuhamia Utopolo kwenye Raha.
Hatua ya tano FREEDOM - Sasa ni Raha kusoma score board Utopolo ikishinda Kila mechi
HATUA ya Sita - HAPPINESS - mwanasimba umekuwa mwananchi Utopolo fan
Yanga kuongoza ligi na kulichukua kombe WEWE ngada fc malalamiko bin kolo uko hatua gani hapo juu?
Chagua kwa hekima, chagua HAPINNESS wewe usijetese!