Yanga mnatuumiza sisi simba

Yanga mnatuumiza sisi simba

Ndala kandambili UTO kinyesi kaha** fc[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji216][emoji216][emoji216][emoji216]
 
Unaumizwa na utopolo wenzako hao rangi ya nyoka?
 
Hatua ya kwanza PAIN ( Utopolo unbeaten team inaongoza ligi Diarra sifa kibao clean sheet, Aziz Ki anapiga matobo tu sifa kibao, Mayele goli 15 peke yake ).

Hatua ya pili DENIAL ( Yanga mbovu tu sisi tumecheza na CSKA Moscow, Tumealikwa super cup, tumebeba makombe four years).

Hatua ya tatu ACCEPTANCE ( Yanga wanatupiga kama Ngoma , Kuna Mayele, Aziz Ki na Musonda hatari sana, Yanga wameplan sherehe kubwa ya mafataki Arusha kwa 100 unbeaten games, Yanga Bado mechi 6 wachukue kombe Tena second year, Yanga hatuwawezi wametuzidi mpira, Manara wamebeba, Diamond wamebeba , Barbara wamebeba, wote hawa hawataki stress za kushangilia vitu vibovu.

Hatua ya nne SHIFT - Moyo umekubali kuhamia Utopolo kwenye Raha.

Hatua ya tano FREEDOM - Sasa ni Raha kusoma score board Utopolo ikishinda Kila mechi
HATUA ya Sita - HAPPINESS - mwanasimba umekuwa mwananchi Utopolo fan

Yanga kuongoza ligi na kulichukua kombe WEWE ngada fc malalamiko bin kolo uko hatua gani hapo juu?

Chagua kwa hekima, chagua HAPINNESS wewe usijetese!
 
Kwa kweli ifikie wakati Mo na Mangungu watuachie timu yetu. Tumechoka kuwa ma underdog kwa kaka zetu Yanga. Bora timu irejeshwe kwa Mzee Kilomoni.

Kwa sasa kila mechi tunayocheza na kaka zetu, ni kichapo tu, au sare! Tumeshindwa hata kuongoza ligi kwa masaa machache! Ubingwa ndiyo tunausikia tu kwenye bomba!

Kwa kweli mimi moyo wangu ❤️ unataka kupasuka kwa maumivu.
 
Kila tukijitahidi kuomba mdondoshe point hamdondoshi. Kila tukijikakamua kushinda na nyie mnashinda mnatufanya tuweweseka sana.

Nachukia kuitwa ngada fc malalamiko fc
mvumilivu hula mbivu utakula mbivu around 2028 huko
 
Back
Top Bottom