Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yanga 3 - 2 MwaduiVP na mwadui huko???
Game iliyopita nayo ilichukuliwa poa ?Labda asajiliwe beki mwenye kiwango kikubwa kuliko Lamine ila sio kumrudisha huyu mtu! Mechi ya leo wachezaji waliichukulia poa ndio mana ikawa hivi! Kuna haja pia ya kusajili kipa na kutafuta kocha mwingine wa makipa! Razack Siwa amefeli!
Miaka hata baba yako amedanganya serikalini huko, ilitakiwa awe amestaafu tangu 2015 huko.....Acha mtu atengeneze laifu lakemwamnyeto pale coast union alikuwa anasaidiwa sana na ibrahim ame ile combination yao ilikuwa nooma sana halafu waambie mwamnyeto aache kudanganya umri Tanga nzima wanajua ana miaka 31 anaingia 32 soon siyo 26
baba yangu ni marehemu mkuu kwani kosa langu nini kusema kadanganya?usije ukakuta mtu kama wewe ulikuwa unamlaumu albert bashite kudanganya elimu na jina halafu leo unamsifia mwamnyetoMiaka hata baba yako amedanganya serikalini huko, ilitakiwa awe amestaafu tangu 2015 huko.....Acha mtu atengeneze laifu lake
Cheti na umri tofauti....vibabu vingapi vipo wizarani huko vilidanganya umri? Mwamnyeto bado anauwezo wa kicheza bila shaka, kifo cha mkewe kilimuathiri tu.baba yangu ni marehemu mkuu kwani kosa langu nini kusema kadanganya?usije ukakuta mtu kama wewe ulikuwa unamlaumu albert bashite kudanganya elimu na jina halafu leo unamsifia mwamnyeto
mwamnyeto tangu akiwa coast yeye ni sweeper mzuri ila ana matatizo sana ya kukosea Ame ibrahim alikuwa anamfichia makosa mengi ni kwa bahati mbaya ame huko simba keshapoteaCheti na umri tofauti....vibabu vingapi vipo wizarani huko vilidanganya umri? Mwamnyeto bado anauwezo wa kicheza bila shaka, kifo cha mkewe kilimuathiri tu.
Mshua wako na wangu watakuwa marafiki huko peponi wanapiga story, ngoja tuwaache wapumzike
Kivip mkuu na Mimi nililaza zangu dakika za majeruhiYanga 3 - 2 Mwadui
Sema ni bahatisha ndulute tu
Then huyo Ame akaishia wapi?mwamnyeto pale coast union alikuwa anasaidiwa sana na ibrahim ame ile combination yao ilikuwa nooma sana halafu waambie mwamnyeto aache kudanganya umri Tanga nzima wanajua ana miaka 31 anaingia 32 soon siyo 26
Yanga hii sio ile mbovu uliyoizoea,Yanga hii ni moto zaidi ya Brazil mpira wa Samba.Kivip mkuu na Mimi nililaza zangu dakika za majeruhi
Au ndio maana kakunjamana sura ?mwamnyeto pale coast union alikuwa anasaidiwa sana na ibrahim ame ile combination yao ilikuwa nooma sana halafu waambie mwamnyeto aache kudanganya umri Tanga nzima wanajua ana miaka 31 anaingia 32 soon siyo 26
Mkuu rudia tena kuangalia Yanga mechi 3 zilizopitaMagoli ya 20m.
Halafu unalaumu centerbacks?...