Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona magoli ya Yanga mecchi hizo tatu zilizopita? Hapo ndio ulaumu sweeper na center full backs ndiyo wamepenywa. Na hata mechi ya Mwadui mikoba yao ndiyo imepitwa deep ndani ya 18 (kasoro goli la kwanza la Fei na Ruvu).Mkuu rudia tena kuangalia Yanga mechi 3 zilizopita
Ni kweli kabisa tena magoli ya Aina moja tu mtu anatoka pembeni na Mpira anaingia nao Kati anapga muwa ndani sjui makocha hawalioni Hilo.Umeona magoli ya Yanga mecchi hizo tatu zilizopita? Hapo ndio ulaumu sweeper na center full backs ndiyo wamepenywa. Na hata mechi ya Mwadui mikoba yao ndiyo imepitwa deep ndani ya 18 (kasoro goli la kwanza la Fei na Ruvu).
Timu nyingi zinaifunga Yanga kutokea mbali. Mradi tu wawe na mchezaji anaeweza kuunganisha muwa.
zamani ilikuwaje kwani? mi najua yanga ni hatari siku zote sema karia na tff ndo wanawaharibiaLamine Moro ni butua butua tu Hanna kitu mle mechi zle tulizotoa Sare mfululizo si alikuwemo huyo hapo ninja akae na job basi kazi imeisha na atafutwe striker matata all in all sasa yanga inanoga aisee inapiga mpira wa kitabuni hasa.
Wataleta timu ?subiri July 3 ikitane na michezaji ya Simba inapenda sifaa hiyo