Yanga msikilizeni huyu, mchambuzi asema Tsh. Millioni 250 hazijapigwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Zile milioni 250 sio za ushindi wa kombe la CRDB ila ni pesa za kuendeshea mashindano, kinachoaminishwa kwa watu ni uongo na si uhalisia.

source:Tv3
​
 
Ndiyo sababu ya jamaa kukacha kikao!

Uswahili umekuwa mwingi ngoja tuone mwisho wake!
 
Zile milioni 250 sio za ushindi wa kombe la CRDB ila ni pesa za kuendeshea mashindano, kinachoaminishwa kwa watu ni uongo na si uhalisia.
Ni sahihi kabisa.

Sasa kwanini Azam aliyekuwa anatoa milioni 50, aliondolewa akaletwa mdhamini mpya ambaye hakuongeza chochote??

Na kama aliongeza kwenye gharama za uendeshaji (TFF) kwanini lwenye zawadi hawakuongeza kitu, ina maana gharama za uendeshaji wa vilabu ni zile zile???

Mnatakiwa kujua Vilabu ndio KILA KOTU, hao wadhamini ni MADALALI tu, kwenda kuzungumza na wadhamini.

Bila vilabu hao TFF watavaa hizo nembo za wadhamini kwenye matumbo yao??
 
Point of correction
Azam hakuondolewa mkataba uliisha na hakuwa na interest ya kurenew upya (nadhani kwasababu za kibiashara) maana tayari ana mkataba wa haki za matangazo ya tv ambao kimsingi unamtangaza pia kibishara hivyo nadhani aliona kudhamini kitu kilekile mara mbili ni hasara
 
Kwahiyo kwenye milioni 266 za CRDB, bingwa atapata milioni 50 pekee.

Yaani bora hata Mapinduzi Milioni 100.

So, wakati Azam anatoa milioni 50 kwa binhwa, gharama za mashindano alikuwa anatoa nani na kiasi gani,?
 
Timu kubwa Kama yanga imeajili CEO kutoka nje, Ina rais, makamu wa rais na viongozi wengine lakini inakubali kushiriki mashindano bila kujua kiwango cha zawadi badala yake inakaa kujitingia kiwango cha zawadi.
 
Timu moja inadhamini timu nane lakini Bado inakuww na Madeni makubwa Mno
 
Kwahiyo kwenye milioni 266 za CRDB, bingwa atapata milioni 50 pekee.

Yaani bora hata Mapinduzi Milioni 100.

So, wakati Azam anatoa milioni 50 kwa binhwa, gharama za mashindano alikuwa anatoa nani na kiasi gani,?
Mdhamini hayoi pesa za bingwa, anatoa pesa za kuendesha shindano, ndani ya hiyo pesa ndio zinapatika pesa za bingwa, runner up na reward zingine. Mfano, kila mechi kila timu inapewa 1.5m ya usafiri. Sasa piga hesabu ya idadi ya mechi na hiyo mil 255 then ndio utajua bingwa anadeserve ngapi kwenye hiyo pesa
 
Kwanini pesa ya mshindi haiko wazi, je hizi club huwa wanakubali kucheza bila kujua kiwango cha ushindi/mshindi

Zile hundi za mfano anazokabidhiwa mshindi kumbe zinakuwa feki, (danganya toto)

Kama ndiyo hivyo basi ni utapeli wa mchana kweupe, (daylight robbery)
 
Back
Top Bottom