Yanga msikurupuke

Yanga msikurupuke

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV.

Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo wamepigwa na Mo.

Wanachofanya ni kuendeshwa na hisia na kutokuona ukweli. Wanakurupuka na kusahau kuwa Simba hawajatangaza kuwa wameza haki zao za matangazo kwa nani na kwa bei gani.

Tumeona Mo Dewji anadhihakiwa bila kuzingatia kanuni za uchumi. Wanasahau kuwa 20B ya leo itakuwa ni maradufu miaka kumi ijayo ilihali wao wataishia kupata 41B miaka 10 ikitimia. Wafanya biashara wenzangu watakubaliana na mimi kuwa kwa miaka 10 mbele 20B ya Simba itakuwa imezalisha sio chini ya 100B ikiwa thamani ya pesa itabaki ilivyo sasa.

Mtu mwenye milioni 2 leo hii anaweza kufanya makubwa ndani ya miaka 10 kuliko anayepata laki 5 kila mwaka na kupata milioni 10 ndani ya miaka 10.

Niwakumbushe tu Yanga kuwa Azam wanamiliki timu yao Azam FC, je, timu hiyo inareflect kile wanachokitarajia wao?
Nirudie tena kuwapongeza Yanga kwa kufungua Milango ya timu kujiongeza thamani lakini wasidhani kuwa wenzao hawana mipango na wao.

Yanga msikurupuke kuwadhihaki wengine.!
 
Bilioni 20 ukikopesha serikali, unapata bilioni 3 kila mwaka. In 10 years itakuwa bilioni 50. Hiyo ni hela nyingi na endelevu huwezi kufananisha hata kidogo na dili walilopata Yanga. Tatizo,

1. Yanga wamepata contract hii kabla ya mwekezaji. Yaani Young Africans Sports Club yenyewe (labda baadae itakuwa Holding Co.) bila mwekezaji kutoka nje. Hii imekuza thamani ya Club. Sidhani kama itauza hisa 49% kwa bil.20.

2. Mzigo haujawekwa, meaning hela za ziada (ambazo inawezekana ni riba from that 20B), haziendi Simba SC Company LTD. Hii inainyima Simba kama Club (Holding Co.) fedha na maamuzi kwa sababu hela za ziada anatoa MO ingawa ilitakiwa ziwe za kampuni na zisitoke mfukoni. Good thing, MO ana mapenzi ya dhati kwa Simba but it's very risky kama akiwa hayupo na mtu mwingine akarithi hiyo nafasi. It might be different.

Kwa hiyo, Simba msibweteke. Mmeharibu ila kwa sababu mnapata vikombe basi endeleeni kufurahi. But be careful.
 
Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV.

Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo wamepigwa na Mo.

Wanachofanya ni kuendeshwa na hisia na kutokuona ukweli. Wanakurupuka na kusahau kuwa Simba hawajatangaza kuwa wameza haki zao za matangazo kwa nani na kwa bei gani.

Tumeona Mo Dewji anadhihakiwa bila kuzingatia kanuni za uchumi. Wanasahau kuwa 20B ya leo itakuwa ni maradufu miaka kumi ijayo ilihali wao wataishia kupata 41B miaka 10 ikitimia. Wafanya biashara wenzangu watakubaliana na mimi kuwa kwa miaka 10 mbele 20B ya Simba itakuwa imezalisha sio chini ya 100B ikiwa thamani ya pesa itabaki ilivyo sasa.

Mtu mwenye milioni 2 leo hii anaweza kufanya makubwa ndani ya miaka 10 kuliko anayepata laki 5 kila mwaka na kupata milioni 10 ndani ya miaka 10.

Niwakumbushe tu Yanga kuwa Azam wanamiliki timu yao Azam FC, je, timu hiyo inareflect kile wanachokitarajia wao?
Nirudie tena kuwapongeza Yanga kwa kufungua Milango ya timu kujiongeza thamani lakini wasidhani kuwa wenzao hawana mipango na wao.

Yanga msikurupuke kuwadhihaki wengine.!

Wanaodhihaki Simba kwa kumpa Simba Mo kwa 20B hawako sahihi. Ila nikusahihishe tu ni kwamba Yanga wao wameridhika na kilichopatikana kwao wameona imetosha kulingana na mahitaji yao hivyo hata ilitokea Simba wamesaini mkataba wa haki ya matangazo kwa 90B halitaliumiza Yanga kwasababu wao wameridhika na mgao wao na hawakushinikizwa. Ni sawa na boss na mwajiri, mfanyakazi mwingine anaajiriwa na kupatana mshahara laki saba na huku mwingine anaajiriwa kwa kazi hiyo hiyo lakini mshahara analipwa milioni moja na nusu. Yote hiyo ni kuafikiana katika makubaliano.

Jambo la pili nikukumbushe kuwa Yanga bado hawampa timu wawekezaji na haijajulikana bado kama wawekezaji wataweka kiasi gani hivyo usilinganishe 20B ya Mo na uwekezaji wa Yanga kwavile bado Yanga hawajakamilisha mchakato wao wa uwekezaji.
 
Yanga hawana cha kushangilia ubingwa wa nne huu tunachukua

na mtu anayewaumiza zaidi ni Mo ndio maana kila wanapopata nafasi wanamshambulia kwa nguvu

Yanga wamechukuliwa furaha yao na MO miaka minne mfululizo
 
Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV.

Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo wamepigwa na Mo.

Wanachofanya ni kuendeshwa na hisia na kutokuona ukweli. Wanakurupuka na kusahau kuwa Simba hawajatangaza kuwa wameza haki zao za matangazo kwa nani na kwa bei gani.

Tumeona Mo Dewji anadhihakiwa bila kuzingatia kanuni za uchumi. Wanasahau kuwa 20B ya leo itakuwa ni maradufu miaka kumi ijayo ilihali wao wataishia kupata 41B miaka 10 ikitimia. Wafanya biashara wenzangu watakubaliana na mimi kuwa kwa miaka 10 mbele 20B ya Simba itakuwa imezalisha sio chini ya 100B ikiwa thamani ya pesa itabaki ilivyo sasa.

Mtu mwenye milioni 2 leo hii anaweza kufanya makubwa ndani ya miaka 10 kuliko anayepata laki 5 kila mwaka na kupata milioni 10 ndani ya miaka 10.

Niwakumbushe tu Yanga kuwa Azam wanamiliki timu yao Azam FC, je, timu hiyo inareflect kile wanachokitarajia wao?
Nirudie tena kuwapongeza Yanga kwa kufungua Milango ya timu kujiongeza thamani lakini wasidhani kuwa wenzao hawana mipango na wao.

Yanga msikurupuke kuwadhihaki wengine.!
Mbona unatufokea? Hiyo hela huyo mdosi kaweka kwenye account ya mikia fc? Au nae anatoa kwa kudondosha kama mkojo wa mwishoni?
 
Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV.

Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo wamepigwa na Mo.

Wanachofanya ni kuendeshwa na hisia na kutokuona ukweli. Wanakurupuka na kusahau kuwa Simba hawajatangaza kuwa wameza haki zao za matangazo kwa nani na kwa bei gani.

Tumeona Mo Dewji anadhihakiwa bila kuzingatia kanuni za uchumi. Wanasahau kuwa 20B ya leo itakuwa ni maradufu miaka kumi ijayo ilihali wao wataishia kupata 41B miaka 10 ikitimia. Wafanya biashara wenzangu watakubaliana na mimi kuwa kwa miaka 10 mbele 20B ya Simba itakuwa imezalisha sio chini ya 100B ikiwa thamani ya pesa itabaki ilivyo sasa.

Mtu mwenye milioni 2 leo hii anaweza kufanya makubwa ndani ya miaka 10 kuliko anayepata laki 5 kila mwaka na kupata milioni 10 ndani ya miaka 10.

Niwakumbushe tu Yanga kuwa Azam wanamiliki timu yao Azam FC, je, timu hiyo inareflect kile wanachokitarajia wao?
Nirudie tena kuwapongeza Yanga kwa kufungua Milango ya timu kujiongeza thamani lakini wasidhani kuwa wenzao hawana mipango na wao.

Yanga msikurupuke kuwadhihaki wengine.!
Kwa taarifa yako yanga hawajakurupuka kabisa,acha kudemka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hii Dili ya Mo na Simba ni upigaji tu sijawahi ikubali.

Simba tumepigwa.
 
Mkuu ulivyoeleza ni kama MO anaweka 20B kila mwaka kitu ambacho si kweli......Mwisho mkija taka mumtoe Mo mtatakiwa kumrefund, na nyie ndio mtaumia zaidi maana thamani ya hela yake itakuwa imeongezeka.....
 
Yanga hawana cha kushangilia ubingwa wa nne huu tunachukua

na mtu anayewaumiza zaidi ni Mo ndio maana kila wanapopata nafasi wanamshambulia kwa nguvu

Yanga wamechukuliwa furaha yao na MO miaka minne mfululizo
Kama alicho wafanyia Manji
 
Back
Top Bottom