Yanga msimfukuze Side Mnyamwezi. Ana kitu mtafika mbali

Yanga msimfukuze Side Mnyamwezi. Ana kitu mtafika mbali

1733605160066.png
 
Kuna changamoto ya performance kwa baadhi ya wachezaji ambao awali walikuwa wanafanya vyema mfano Bacca, Pacome na Nzengeli.
Na Bado kolo kateseka sana na fomla ya kamati ya ufundi ya kushusha viwango vya wachezaji tukiwaambia watu wa kutegua mnasema anacheza namba ngapi? mbambaneni na Hali yenu.
 
Na Bado kolo kateseka sana na fomla ya kamati ya ufundi ya kushusha viwango vya wachezaji tukiwaambia watu wa kutegua mnasema anacheza namba ngapi? mbambaneni na Hali yenu.
Hayo mambo ya Magoma na Mzee Mpili.

Shida kocha yupo kwenye tatizo la kutafuta ushindi wakati huo huo kuisuka upya timu.

Jee wachezaji waliopo ni chaguo lake au wanafanana na ubora anaoutaka yeye ili atumie mfumo wa uchezaji anaouona unaifaa Yanga?
 
Yanga na CC Em hakuna tofauti hawataki kukosolewa
 
Back
Top Bottom