Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na Derby.Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12.
Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka record mpya. Yaani goli chache ziwe ni 9
Labda njaa,akufunge Prisons uje umfunge YangaNext game Simba anashinda
Labda mganga wao afe.
Utaona simba watakiwasha na hutoamini kama ndio wale wastafu.
Yanga wakijisahau wanapigwa vilevile.usifanye mchezo na vibwengo..! Hata mzee anakua kijana siku hiyo.
Umemsahau Ihefu sio?Labda njaa,akufunge Prisons uje umfunge Yanga
Sababu za kujifariji hizo hata kwenye kanga zipo, hizo team zinapewa hela ili zisifungwe na simba?, team hizo zinapewa hela ili zimfunge simba?, nini kinasababisha simba asipate point 3 kila mechi. Basi hata simba anapewa hela mbona alifungwa na huyohuyo mtoa helaTFF na Board ya league isipofuata huu ushauri tutegemee kuporomoka kwa league yetu.
Huu upinzani sio halisi kabisa. Prince Dube amethibitisha hili
Subili uone mkuuNdoto na denial
Kukiwasha ni uwezo na sio hamasa
Je kuna wachezaji wenye uwezo ?
Au chama?
Na
Beki na makipa yenu yalivyo wamchongo lol
Ninachoona mkijitahiid sana ni kupunguza magol tu from 5 to 2
Hii ni mind game na denial ambayo Simba wanajificha nyuma yake hata huko kimataifa anaposema wanafanya vema walingoja hadi mechi ya mwisho ndio wapite washukuru kazi kubwa aliyofanya Jwanengy pale Mo 5 bila hivyo wangekuwa hoi bin taabaniTFF na Board ya league isipofuata huu ushauri tutegemee kuporomoka kwa league yetu.
Huu upinzani sio halisi kabisa. Prince Dube amethibitisha hili