Yanga msimu huu watapaki basi kwa Simba S.C

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
404
Reaction score
230
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.

Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge.

Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona. Mtajuta kuwafahamu Simba.
 
Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona.Mtajuta kuwafahamu Simba.
Ukishaandika hivi mwenyewe unafurahiiiiii moyo mweupeeeeee unaona kabisa simba ashashinda
 
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.
Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge.
Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona.Mtajuta kuwafahamu Simba.
Rudi kwa mganga wako tena mwambie arudie tena kukufanyia utabiri maana amejudanganya
 
Ujinga ni kipaji mleta mada kajaliwa.
 
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.

Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge.

Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona. Mtajuta kuwafahamu Simba.
Ujinga huu haupaswi kuaminiwa na wanasimba hadi game zianze.

Jinsi alivyosifiwaga Babacar Sarr,hadi leo ninalazimika tu kuamini mchezaji nikimuona mwenyewe uwanjani
 
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.

Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge.

Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona. Mtajuta kuwafahamu Simba.
Kuna watu mna wivu wa kijinga sana, umeona okwi boban sunzu uzu wake umepata wachangiaji wengi basi na wewe umeamua mapema uje na uzi wa stle ileile ili na wewe upate wachangisji wengi no matter michango yao itakuwajw.
Wewe ni aina ya watu ambao hata shoga akidiwa na wenzake kuwa shati limempendeza basi na wewe utaanza kufanya ushoga kidogokidogo na kisirisiri ili uganane naye.
 
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.

Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge.

Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona. Mtajuta kuwafahamu Simba.
Wewe mwandishi ni miongoni mwa wale ambao huwa mnazimia uwanjani. Kwa uandishi huu utakufa kwa presha.
 
unajua sio utani [emoji848]??

zingwe, Fredy, lakred na malone wanaweza kukaa benchi. zingwe anacheza kama lomalisa wasteful of position. malone kwa bacca au dickson [emoji2379]. fredy kwa dube na mzize, may be, lakred may be.
Zingwe ndo Nani tena [emoji3061]
 
Chama, pacome, Aziz, max, Dube, alafu wapaki basi. Basi hiyo team itachukuwa champions. Mwaka hizo tano, tano naziona nyingi
Chama mzee halafu ni konokono labda kama umesahau.

Dube ni gari la mkaa .

Hicho ni kikundi cha wasubir pensheni hawana uwezo wa kukimbizana na vijana waliosajiliwa simba .
 
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.

Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge.

Yanga baibai kuchukua vikombe.Safari hii mtakiona cha kukiona. Mtajuta kuwafahamu Simba.
CC: Rage
 
Huu Uzi utatumika kama risiti Cc ephen_
 
Back
Top Bottom