Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Kwa wananchi,
Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu ulioisha, napata hofu tutacheza mfumo ule ule yaani 4:4:2
Wakati mfumo huu umetupa uwezo wa kufunga magoli mengi tukicheza na timu dhaifu, mfumo huu umetupa maumivu mengi pia!
Mfumo wa kutumia typical two strikers ni mfumo wa kizamani na kwa timu zenye viungo waziri lazima ufungwe tu! refer, mechi zetu na mikia!
Napendekeza ama tuwe tunabadilisha mfumo kulingana na mechi au tuachane kabisa na huo mfumo tucheze 4:2:3:1 au 4:5:1!
Nawasilisha kwa mjadala!