Yanga msimu ujao lazima tubadili formation!

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Kwa wananchi,

Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu ulioisha, napata hofu tutacheza mfumo ule ule yaani 4:4:2

Wakati mfumo huu umetupa uwezo wa kufunga magoli mengi tukicheza na timu dhaifu, mfumo huu umetupa maumivu mengi pia!

Mfumo wa kutumia typical two strikers ni mfumo wa kizamani na kwa timu zenye viungo waziri lazima ufungwe tu! refer, mechi zetu na mikia!

Napendekeza ama tuwe tunabadilisha mfumo kulingana na mechi au tuachane kabisa na huo mfumo tucheze 4:2:3:1 au 4:5:1!
Nawasilisha kwa mjadala!
 
Formation anapanga mwalimu sio nyie mashabiki uchwara msiojua lolote
Unamjua mleta Uzi? Unajuaje Kama Ndio Lwandamina mwenye timu
Kwa wananchi,
Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu ulioisha, napata hofu tutacheza mfumo ule ule yaani 4:4:2
Wakati mfumo huu umetupa dauda ya kufunga magoli mengi tukicheza na timu dhaifu, mfumo huu umetupa maumivu mengi pia!
Mfumo wa kutumia typical two strikers ni mfumo wa kizamani na kwa timu zenye viungo waziri lazima ufungwe tu! refer, mechi zetu na mikia!
Napendekeza ama tuwe tunabadilisha mfumo kulingana na mechi au tuachane kabisa na huo mfumo tucheze 4:2:3:1 au 4:5:1!
Nawasilisha kwa mjadala!
 
Formation anapanga mwalimu sio nyie mashabiki uchwara msiojua lolote
Bujibuji, Sioni tofauti yako na huyu mshabiki mwenzio, au hao unaowaita mashabiki uchwara, wewe ungekua unajua, usingeshinda hapa kubishana, mambo soka, hasa kipindi hiki, hii ni ushahidi mnafanana nao. Anaejua hutoa elimu kwa wasijua bila kejeli, mara ngapi mashabiki hasa wa Yanga tumeona wakishinikiza fulani hafai na kocha akaacha kumpanga.
 
Kwa wananchi,
Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu ulioisha, napata hofu tutacheza mfumo ule ule yaani 4:4:2
Wakati mfumo huu umetupa dauda ya kufunga magoli mengi tukicheza na timu dhaifu, mfumo huu umetupa maumivu mengi pia!
Mfumo wa kutumia typical two strikers ni mfumo wa kizamani na kwa timu zenye viungo waziri lazima ufungwe tu! refer, mechi zetu na mikia!
Napendekeza ama tuwe tunabadilisha mfumo kulingana na mechi au tuachane kabisa na huo mfumo tucheze 4:2:3:1 au 4:5:1!
Nawasilisha kwa mjadala!
Mkuu nashauri ungeomba kuwa kocha
 
Mkuu nashauri ungeomba kuwa kocha
Mkuu haihitaji kuwa cheti cha ukocha kuliona hili. Jiulize tulishindwaje kuwafunga Simba mara mbili wakiwa pungufu? Au tulishindwaje kuwafungu Mbao FC mara mbili? Jibu ni kuwa we lost midfield battle!
 
Watu wanao mlalamikia Wenga wote wanataalumu ya ukocha, au wanalallakia wachezaji wote, wamewahi kucheza mpira.
Hawalalamikii mfumo, wanalalamikia mtu! That's the difference
 
Mkuu haihitaji kuwa cheti cha ukocha kuliona hili. Jiulize tulishindwaje kuwafunga Simba mara mbili wakiwa pungufu? Au tulishindwaje kuwafungu Mbao FC mara mbili? Jibu ni kuwa we lost midfield battle!
Unadhani formation gani ingewafunga Simba?
 
Hakuna formation yeyeto ambayo ingewafunga Simba kwa msimu uliopita, Manji amejaribu kugaramia timu, kuchukua wachezaji wa kurudisha gori tano, imeshindikana mpaka ameamua kujiondoa.
 
Ngoja tusubiri tuone msimu huu unaoanza atakuja na mfumo gani
 
Hakuna formation yeyeto ambayo ingewafunga Simba kwa msimu uliopita, Manji amejaribu kugaramia timu, kuchukua wachezaji wa kurudisha gori tano, imeshindikana mpaka ameamua kujiondoa.
Manji hasajili kurudisha goli tano kwani Sio deni. Hizi ni akili za mbumbumbu FC. Mataji ndio habari ya wanasoka.
 
Back
Top Bottom