Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Kuna dawa na vyakula ukila vinasaidia, kurudisha kumbukumbu, maana umeshasahau kuwa ni moja ya ahadi zake, ikiwa pamoja na kujenga uwanja, ndani ya miaka miaka mitatu ya uongozi wake.Manji hasajili kurudisha goli tano kwani Sio deni. Hizi ni akili za mbumbumbu FC. Mataji ndio habari ya wanasoka.