Yanga msimu ujao lazima tubadili formation!

Manji hasajili kurudisha goli tano kwani Sio deni. Hizi ni akili za mbumbumbu FC. Mataji ndio habari ya wanasoka.
Kuna dawa na vyakula ukila vinasaidia, kurudisha kumbukumbu, maana umeshasahau kuwa ni moja ya ahadi zake, ikiwa pamoja na kujenga uwanja, ndani ya miaka miaka mitatu ya uongozi wake.
 
Mataji ndio habari ya wanasoka. Mambumbumbu FC wazee wa maandamano hamna jipya
 
Back
Top Bottom