Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Ili timu ifungwe lazima lazima wapitwe walinzi, acha ushabiki maandazi, je Ajibu na Yondani utawaongeleaje, kama swala ni kutokea Simba.Dida na Bartez wameondoka hakuna kufungwa magoli ya "mauzauza"
Unamjua mleta Uzi? Unajuaje Kama Ndio Lwandamina mwenye timuFormation anapanga mwalimu sio nyie mashabiki uchwara msiojua lolote
Kwa wananchi,
Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu ulioisha, napata hofu tutacheza mfumo ule ule yaani 4:4:2
Wakati mfumo huu umetupa dauda ya kufunga magoli mengi tukicheza na timu dhaifu, mfumo huu umetupa maumivu mengi pia!
Mfumo wa kutumia typical two strikers ni mfumo wa kizamani na kwa timu zenye viungo waziri lazima ufungwe tu! refer, mechi zetu na mikia!
Napendekeza ama tuwe tunabadilisha mfumo kulingana na mechi au tuachane kabisa na huo mfumo tucheze 4:2:3:1 au 4:5:1!
Nawasilisha kwa mjadala!
Bujibuji, Sioni tofauti yako na huyu mshabiki mwenzio, au hao unaowaita mashabiki uchwara, wewe ungekua unajua, usingeshinda hapa kubishana, mambo soka, hasa kipindi hiki, hii ni ushahidi mnafanana nao. Anaejua hutoa elimu kwa wasijua bila kejeli, mara ngapi mashabiki hasa wa Yanga tumeona wakishinikiza fulani hafai na kocha akaacha kumpanga.Formation anapanga mwalimu sio nyie mashabiki uchwara msiojua lolote
Mkuu, usitoneshe vidonda. Huyo Bartex hana maana kabisaDida na Bartez wameondoka hakuna kufungwa magoli ya "mauzauza"
Mkuu nashauri ungeomba kuwa kochaKwa wananchi,
Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu ulioisha, napata hofu tutacheza mfumo ule ule yaani 4:4:2
Wakati mfumo huu umetupa dauda ya kufunga magoli mengi tukicheza na timu dhaifu, mfumo huu umetupa maumivu mengi pia!
Mfumo wa kutumia typical two strikers ni mfumo wa kizamani na kwa timu zenye viungo waziri lazima ufungwe tu! refer, mechi zetu na mikia!
Napendekeza ama tuwe tunabadilisha mfumo kulingana na mechi au tuachane kabisa na huo mfumo tucheze 4:2:3:1 au 4:5:1!
Nawasilisha kwa mjadala!
Mkuu haihitaji kuwa cheti cha ukocha kuliona hili. Jiulize tulishindwaje kuwafunga Simba mara mbili wakiwa pungufu? Au tulishindwaje kuwafungu Mbao FC mara mbili? Jibu ni kuwa we lost midfield battle!Mkuu nashauri ungeomba kuwa kocha
Watu wanao mlalamikia Wenga wote wanataalumu ya ukocha, au wanalallakia wachezaji wote, wamewahi kucheza mpira.Mkuu nashauri ungeomba kuwa kocha
Hatuzungumzii formation za kisasa, bali formation IFormation za kizamani hizo
Hujui mpira ww kwanza usibishane na kiungo mvivu na hatari kama sergio busquetsHatuzungumzii formation za kisasa, bali formation I
zinaweza kutupa mafanikio
Hawalalamikii mfumo, wanalalamikia mtu! That's the differenceWatu wanao mlalamikia Wenga wote wanataalumu ya ukocha, au wanalallakia wachezaji wote, wamewahi kucheza mpira.
Unadhani formation gani ingewafunga Simba?Mkuu haihitaji kuwa cheti cha ukocha kuliona hili. Jiulize tulishindwaje kuwafunga Simba mara mbili wakiwa pungufu? Au tulishindwaje kuwafungu Mbao FC mara mbili? Jibu ni kuwa we lost midfield battle!
Hakuna formation yeyeto ambayo ingewafunga Simba kwa msimu uliopita, Manji amejaribu kugaramia timu, kuchukua wachezaji wa kurudisha gori tano, imeshindikana mpaka ameamua kujiondoa.Unadhani formation gani ingewafunga Simba?
Manji hasajili kurudisha goli tano kwani Sio deni. Hizi ni akili za mbumbumbu FC. Mataji ndio habari ya wanasoka.Hakuna formation yeyeto ambayo ingewafunga Simba kwa msimu uliopita, Manji amejaribu kugaramia timu, kuchukua wachezaji wa kurudisha gori tano, imeshindikana mpaka ameamua kujiondoa.
Mataji au taji?Manji hasajili kurudisha goli tano kwani Sio deni. Hizi ni akili za mbumbumbu FC. Mataji ndio habari ya wanasoka.
Kushinda "mataji." Au labda Manji umemfahamu jana?Mataji au taji?