π€£π€£π€£ Hongera kabisa mangungu mitano Tena!Tutahakikisha GSM utopolo tu,hatakaa kwa amani kabisa atajiondoa mwenyewe au kuondolewa na TFF
Sukari imepanda sanaYanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!
Kilichotokea Leo pale luangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,
Tutaendelea kukusanya point popote pale na kwa njia zozote zile kwakuwa Hawa mbumbumbu wanatingisha mzinga wa nyuki kwa kujifanya wanaweza fitina but hapa yanga ndio fitina zimezaliwa!
Kwakuwa tff imebariki hiki kinachoendelea kwa marefa basi ngoja tupimane ubavu alafu tuone nani mshindi!
Tushaingia kazini na tunawachora tu vilio vitakuwa vikubwa kuliko na wabwekaji watakuwa wengi siku sio nyingi!
Kwasasa kukenua na kufurahia ushindi dhidi ya Namungo kwa njia haramu ni juu yenu but tunahitaji muendelezo wa kukenue kwenye mechi za yanga pia akiwa anapata ushindi wake pia!
Tunawapongeza kwa kufurahia lakini mjiandae!
Unakumbuka wazee wa Simba walitoa siku 7 waziri aombe msamaha?Unakumbuka kuna kipindi wazee wa yanga waligomea ligi kisa logo ya vodacom!
Wenye akili ni wawili nye wapiga kelele mnajisumbuaπ€£π€£π€£ Hongera kabisa mangungu mitano Tena!
Uhuni tumeouona dhahiri LeoMnalazimisha mpate sababu ya kuendeleza uhuni wenu. Sisi tunapiga GSM mkuu na shoga zake wote
Jana wazee wa yanga tena wamrita press hawana cha kuongea!Unakumbuka wazee wa Simba walitoa siku 7 waziri aombe msamaha?
GSM asikae Kwa amani na pesa anazoTutahakikisha GSM anadhamini utopolo tu,hatakaa kwa amani kabisa atajiondoa mwenyewe au kuondolewa na TFF
Na wale mbumbumbu je unawaweka kundi Gani? Pale ukoloni ata mwehu anaweza kuongoza kwa kuwa ni mbumbumbus family!Wenye akili ni wawili nye wapiga kelele mnajisumbua
Oooh jana ulijaza nyuzi za kudai Namungo ni tawi la Simba, leo unalialia maamuzi ya refa.Wewe usitupotezee muda,,lile shimo lililokutoa wewe na kukuleta duniani ndio shimo ilo na sio kingine!
Na wale wazee wenu waliongea nini? Na maazimio yao yaliishia wapi?Jana wazee wa yanga tena wamrita press hawana cha kuongea!
Ile ni Taasisi kubwa wenye akili wapo kibao huko wapo wawili nashangaa unapata ujasiri wapi wakati huna akiliNa wale mbumbumbu je unawaweka kundi Gani? Pale ukoloni ata mwehu anaweza kuongoza kwa kuwa ni mbumbumbus family!
Maazimio yao ni kuwatoa wale wote wahujumu Chama inonga baleke na israel mwenda!Na wale wazee wenu waliongea nini? Na maazimio yao yaliishia wapi?
Nani anajali hayo mashindano yenu ya UMISETA yaani mashindano ya akina mamaMmeanza kushtukaaaaa bado hamjashtukaaaaa
View attachment 3242156
Daah kweli Rage ajengewe mnara,,niaibike kwa lipi bwana kolo? Kwa kupata ushindi wa refa au kwa lipi?Oooh jana ulijaza nyuzi za kudai Namungo ni tawi la Simba, leo unalialia maamuzi ya refa.
Nilijaribu kukuelewesha ukakaza shingo, ona unavyoaibika sasa.
Waziri mwenye dhamana alikuwepo uwanjani. Tutegemee adhabu kali dhidi ya Simba ndani ya masaa 24.Uhuni tumeouona dhahiri Leo
GSM ni lidude wewe kapuku utaandika upuuzi wako yeye ataendelea kutangaza bidhaa zake
Kwa hiyo ni refa tena siyo Mgunda ππ€£ππ€£ Upuuzi unaandika wewe aibu naona mimiDaah kweli Rage ajengewe mnara,,niaibike kwa lipi bwana kolo? Kwa kupata ushindi wa refa au kwa lipi?
Ficha ujinga wako basi angalau kidogo, michuano ya wakinamama cup ndio unatuwekea hapa? Umemsikia Mosepe juzi alichokisema?Mmeanza kushtukaaaaa bado hamjashtukaaaaa
View attachment 3242156
Wewe kenua tu risiti natunza ole wako uje kubweka hapa kama mbwa kichaa utaisoma namba!Kwa hiyo ni refa tena siyo Mgunda ππ€£ππ€£ Upuuzi unaandika wewe aibu naona mimi
Kina chama ndio waziri waliomtaja?Maazimio yao ni kuwatoa wale wote wahujumu Chama inonga baleke na israel mwenda!