Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!
Kilichotokea Leo pale luangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,
Tutaendelea kukusanya point popote pale na kwa njia zozote zile kwakuwa Hawa mbumbumbu wanatingisha mzinga wa nyuki kwa kujifanya wanaweza fitina but hapa yanga ndio fitina zimezaliwa!
Kwakuwa tff imebariki hiki kinachoendelea kwa marefa basi ngoja tupimane ubavu alafu tuone nani mshindi!
Tushaingia kazini na tunawachora tu vilio vitakuwa vikubwa kuliko na wabwekaji watakuwa wengi siku sio nyingi!
Kwasasa kukenua na kufurahia ushindi dhidi ya Namungo kwa njia haramu ni juu yenu but tunahitaji muendelezo wa kukenue kwenye mechi za yanga pia akiwa anapata ushindi wake pia!
Tunawapongeza kwa kufurahia lakini mjiandae!
Sukari imepanda sana
IMG_5354.jpeg
 
Mnalazimisha mpate sababu ya kuendeleza uhuni wenu. Sisi tunapiga GSM mkuu na shoga zake wote
Uhuni tumeouona dhahiri Leo
GSM ni lidude wewe kapuku utaandika upuuzi wako yeye ataendelea kutangaza bidhaa zake
 
Tutahakikisha GSM anadhamini utopolo tu,hatakaa kwa amani kabisa atajiondoa mwenyewe au kuondolewa na TFF
GSM asikae Kwa amani na pesa anazo
Kisa wewe unaandika comments Jamii forums
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Wenye akili ni wawili nye wapiga kelele mnajisumbua
Na wale mbumbumbu je unawaweka kundi Gani? Pale ukoloni ata mwehu anaweza kuongoza kwa kuwa ni mbumbumbus family!
 
Wewe usitupotezee muda,,lile shimo lililokutoa wewe na kukuleta duniani ndio shimo ilo na sio kingine!
Oooh jana ulijaza nyuzi za kudai Namungo ni tawi la Simba, leo unalialia maamuzi ya refa.

Nilijaribu kukuelewesha ukakaza shingo, ona unavyoaibika sasa.
 
Na wale mbumbumbu je unawaweka kundi Gani? Pale ukoloni ata mwehu anaweza kuongoza kwa kuwa ni mbumbumbus family!
Ile ni Taasisi kubwa wenye akili wapo kibao huko wapo wawili nashangaa unapata ujasiri wapi wakati huna akili
 
Oooh jana ulijaza nyuzi za kudai Namungo ni tawi la Simba, leo unalialia maamuzi ya refa.

Nilijaribu kukuelewesha ukakaza shingo, ona unavyoaibika sasa.
Daah kweli Rage ajengewe mnara,,niaibike kwa lipi bwana kolo? Kwa kupata ushindi wa refa au kwa lipi?
 
Uhuni tumeouona dhahiri Leo
GSM ni lidude wewe kapuku utaandika upuuzi wako yeye ataendelea kutangaza bidhaa zake
Waziri mwenye dhamana alikuwepo uwanjani. Tutegemee adhabu kali dhidi ya Simba ndani ya masaa 24.
 
Daah kweli Rage ajengewe mnara,,niaibike kwa lipi bwana kolo? Kwa kupata ushindi wa refa au kwa lipi?
Kwa hiyo ni refa tena siyo Mgunda 😂🤣😂🤣 Upuuzi unaandika wewe aibu naona mimi
 
Kwa hiyo ni refa tena siyo Mgunda 😂🤣😂🤣 Upuuzi unaandika wewe aibu naona mimi
Wewe kenua tu risiti natunza ole wako uje kubweka hapa kama mbwa kichaa utaisoma namba!
 
Back
Top Bottom