Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Eti kocha wa namungo asema refa akichezesha vizuri au vibaya kwake sawa tu. Utabiri umetimia
 
Timu kubwa ni zile zilizoingi robo fainali club Bingwa na shirikisho wengine hamna tofauti na Ken gold...
Timu mbovu zotee zimefurushwa...
Zimebaki majayanti pekee top 10 CAF ranks...
Shirikisho hata Namungo, Biashara united, Mbao,Mtibwa na Coast zimecheza
 
SIO waanzilishi TU ....YANGA ndio watawala wa fitna MJIANDAE

YANGA
Hilo tunajua na ndiyo tumekuwa tunasema. Tuambieni jingine ambalo hatujui. Tunajiandaa kuona mnaruka ukuta, kuiba mataulo ya makipa na mambo kama hayo.
 
Twende na fitina tu
Si ligi haina mwenyewe
Uwanjani hamwezi mnahonga marefa
We unayeweza mbona haujashinda mechi zote?

UMESHENYENTWA NA TABORA, UKASHENYENTWA NA AZAM UKATOLEWA NA MC ALGER.
 
Mambo yako dhahiri TFF wanataka makolo wawe mabingwa
Kwa kuwa Karia mkewe ni muajiriwa wa GsM mdio maana anafumbia macho upuuzi wenu. Hakuna ligi duniani ambayo mwekezaji na muendeshaji wa timu moja (Yanga) anadhamini timu nyingine( ambazo kimsingi ni wapinzani) wa timu anayoiendesha yeye na kupigania mafanikio yake (Yanga) zaidi ya hapa Tanzania.

Huu upuuzi tunauona mnatuona sisi Wadau wa Simba wajinga. Hamna akili wapumbavu wa Yanga nyie.
 
Kumbe unajua kwamba yanafutwa but nati tu ndio zinalegea kichwani,,icho kikosi unachotuwekea yanga alishapita uko ebu kaangalie kikosi cha wiki cha caf kuanzia robo fainali mpaka fainali yanga alikuwa anaingiza wachezaji wangapi kwenye iyo wamama cup uliyopo,,Yani robo tu unarukaruka maskini!
Wakati Yanga anacheza hiyo michuano yeye naye alikuwa mama!? Au mwanaume shoga!?
 
Kwa kuwa Karia mkewe ni muajiriwa wa GsM mdio maana anafumbia macho upuuzi wenu. Hakuna ligi duniani ambayo mwekezaji na muendeshaji wa timu moja (Yanga) anadhamini timu nyingine( ambazo kimsingi ni wapinzani) wa timu anayoiendesha yeye na kupigania mafanikio yake (Yanga) zaidi ya hapa Tanzania.

Huu upuuzi tunauona mnatuona sisi Wadau wa Simba wajinga. Hamna akili wapumbavu wa Yanga nyie.
GSM sio mmiliki wa Yanga
Yanga ni timu ya Wanachama

Azam anadhamini timu zote na ana timu kwenye ligi
Lodhia anadhamini timu ngapi
Mbet anadhamini timu ngapi
Meridian bet anadhamini timu ngapi
Pm bet anadhamini timu ngapi
Asas anadhamini timu ngapi sportpesa anadhamini timu ngapi

Fly Emirates anadhamini PSG na Nantes ufaransa

Fly Emirates anadhamini Arsenal, Ac Milan, Madrid, PSG, n.k na zote zinacheza UEFA

Fuatilia Qatar airways ana timu ngapi
Sportfy anadhamini timu ngapi

Mtakuwa mbumbumbu hadi lini lini?
 
Wewe kumbe unafuatilia ligi lakini huna unalolijua. Azam anaendesha Azam fc na hakuna timu anatoidhamini. Kama ni malipo ya Tv huo ni udhamini wa Azam Media na bodi ya ligi. Kwa hiyo hapo hakuna namna Azam anakutana menejimenti na timu yoyote ya ligi Kuu. Hakuna.

Halafu acha kuwaona watu wapumbavu kama ulivyo wewe. Gsm ndiye anaendesha Yanga hata kama klabu ni ya wanachama. Leo Yanga isipofanya vizuri GSM ndiye atakayepewa lawama kwa kuwa ndiye aliyekabidhiwa timu. Kwa hiyo uhusiano wa gsm na klabu nyingine za ligi kuu wa kuidhamini huo ni ufisadi wa mchana kweupe kwani hao anaowadhamini ni wapinzani wa Yanga ambayo yeye nanapigania mafanikio yake ili wanachama waendelee kumuamini.

Kama Gsm kweli anataka kudhamini timu, afanye hivyo kwa timu za madaraja ya chini na sio ligi kuu. Halafu tofautisha kudhamini ligi na kuendesha timu mojawapo katika ligi. Mbet anaweza dhamini timu hata tano, ili mradi hakuna timu anayoiendesha kwenye ligi. Hata Gsm agekuwa hana timu anayoiendesha kwenye ligi wala isingekuwa tatizo yeye kudhamini timu anazidhamini hii leo.
 
Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!

Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,

Tutaendelea kukusanya point popote pale na kwa njia zozote zile kwakuwa Hawa mbumbumbu wanatingisha mzinga wa nyuki kwa kujifanya wanaweza fitina but hapa yanga ndio fitina zimezaliwa!

Kwakuwa TFF imebariki hiki kinachoendelea kwa marefa basi ngoja tupimane ubavu alafu tuone nani mshindi!

Soma Pia: FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Tushaingia kazini na tunawachora tu vilio vitakuwa vikubwa kuliko na wabwekaji watakuwa wengi siku sio nyingi!

Kwasasa kukenua na kufurahia ushindi dhidi ya Namungo kwa njia haramu ni juu yenu but tunahitaji muendelezo wa kukenue kwenye mechi za yanga pia akiwa anapata ushindi wake pia!

Tunawapongeza kwa kufurahia lakini mjiandae!
Yanga na Simba hakuna wa kumsema mwenzie wote ni wale wale, watoto wa baba mmoja na mama mmoja, ndio waharibifu wakuu wa ligi hii
 
Penati zote zilikuwa halali,kadi nyekundu sijui nini kilitokea!Huenda refa aliona kitu kikitendwa dhidi ya Ateba!
maelezo ya kapteni wa namungo anasema alimuuliza refa shida nini refa akasema kaona ateba kapigwa

refa kaonesha mahaba waziwazi
 
Wewe kumbe unafuatilia ligi lakini huna unalolijua. Azam anaendesha Azam fc na hakuna timu anatoidhamini. Kama ni malipo ya Tv huo ni udhamini wa Azam Media na bodi ya ligi. Kwa hiyo hapo hakuna namna Azam anakutana menejimenti na timu yoyote ya ligi Kuu. Hakuna.

Halafu acha kuwaona watu wapumbavu kama ulivyo wewe. Gsm ndiye anaendesha Yanga hata kama klabu ni ya wanachama. Leo Yanga isipofanya vizuri GSM ndiye atakayepewa lawama kwa kuwa ndiye aliyekabidhiwa timu. Kwa hiyo uhusiano wa gsm na klabu nyingine za ligi kuu wa kuidhamini huo ni ufisadi wa mchana kweupe kwani hao anaowadhamini ni wapinzani wa Yanga ambayo yeye nanapigania mafanikio yake ili wanachama waendelee kumuamini.

Kama Gsm kweli anataka kudhamini timu, afanye hivyo kwa timu za madaraja ya chini na sio ligi kuu. Halafu tofautisha kudhamini ligi na kuendesha timu mojawapo katika ligi. Mbet anaweza dhamini timu hata tano, ili mradi hakuna timu anayoiendesha kwenye ligi. Hata Gsm agekuwa hana timu anayoiendesha kwenye ligi wala isingekuwa tatizo yeye kudhamini timu anazidhamini hii leo.
We kweli mbumbumbu
Yaani unaotenganisha Azam media na Azam FC, hujui kuwa hizi ni mali za Bakhresa

Unasema Azam anakutana na bodi ya ligi, hujui kuwa bodi ya ligi ndo mwakilishi wa vilabu yaani anabeba maoni na matakwa ya vilabu

GSM haimiliki Yanga, Yanga ni timu ya Wanachama
GSM yupo Yanga kudhamini ni mkataba adhamani apate faida na Yanga ipate
Kama mnataka udhamini wa GSM muite atie pesa Kwa 5imba

Sisi Yanga hatubagui hela kesho mwambie mo aleta pesa ya kueleweka tutavaa tangazo lake la viberti
 
Huna ulijualo kumbe, Azam hawezi kuongea na menejimenti ya Coastal union lakini Gsm anaongea na menejimenti ya Coastal. Azam media inalipa bodi ya ligi ambayo ndio inagawanya fedha za udhamini wa Tv kwa vilabu. Lakini hii leo gsm anawalipa Coastal pesa za udhamini.
 
Bodi ya ligi ni mwakilishi wa vilabu
Kwaiyo wewe mbunge wako akileta kisima cha maji, hutajua kuwa mtoa maji ni serikali sio mbunge

GSM akienda kudhamini ligi Nia yake ni kutangaza bidhaa zake ili timu zifaidike na yeye biashara yake iuze sokoni

GSM hawezi kugawa pesa wala hatoi hongo
Kwani huonagi mabango ya GSM barabarani, huonagi matangazo ya GSM kwenye magazeti au tv,

GSM amedhamini marathon na event ngapi za stand up comedy?
GSM ana mabalozi watu maarufu wengi wanatangaza bidhaa zake
Kwaiyo kote huko anahonga ili Yanga ishinde, Yan GSM ampe Maulid Kitenge au Milard ayo pesa ili Yanga ishinde

GSM ni mfanyabiashara Yeye laZima atangaze bidhaa zake

Msiwe mbumbumbu,
 
Ndio maana soka lina sheria zake ili kulinda ushindani na kupunguza uwezekana wa kupanga matokeo. Kwa kifupi mwekezaji wa Manchester United haruhusiwi kudhamini Chelsea hata kama ananpesa nyingi za kuchezea. Hili soka lenu la wizi endeleeeni kujidanyanya nalo.
 
Usiwe layman unaongea kama upo Buguruni kwenye kahawa

GSM pale Yanga ni mdhamini tu, yupo Kwa mkataba na muda ukiisha anaweza kuondoka akaja Mo akawekeza na akakubaliwa

Main sponsor wa Yanga ni sportpesa
Sponsors wengine ni
NIC insurance
crdb
Nmb
Afya water
Taifa gas
Whizom
Na kampuni zaidi ya 30 zinaweka pesa Yanga
 
NMB na Gsm ni vitu viwili tofauti. Gsm amekabidhiwa Yanga na wananchama aiendeshe ipate mafanikio, kwa hiyo kudhamini klabu nyingine huo ni ufisadi kwani hao anaowadhamini ni wapinzani wa Yanga ambayo yeye kakabishiwa apigania mafanikio yake. Huu wizi upo Tanzania tu. Lete mfano wa kitu hiki kwenye ligi nyingine.
 
GSM alikabidhiwa Yanga lini?
Yanga ni timu ya Wanachama 💯

Wanachama tunalipa ada ili kuendesha timu yetu

Kwanini unalazimisha GSM awe mmiliki wa Yanga?
 
Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!

Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,

Tutaendelea kukusanya point popote pale na kwa njia zozote zile kwakuwa Hawa mbumbumbu wanatingisha mzinga wa nyuki kwa kujifanya wanaweza fitina but hapa yanga ndio fitina zimezaliwa!

Kwakuwa TFF imebariki hiki kinachoendelea kwa marefa basi ngoja tupimane ubavu alafu tuone nani mshindi!

Soma Pia: FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Tushaingia kazini na tunawachora tu vilio vitakuwa vikubwa kuliko na wabwekaji watakuwa wengi siku sio nyingi!

Kwasasa kukenua na kufurahia ushindi dhidi ya Namungo kwa njia haramu ni juu yenu but tunahitaji muendelezo wa kukenue kwenye mechi za yanga pia akiwa anapata ushindi wake pia!

Tunawapongeza kwa kufurahia lakini mjiandae!
Bro umesahau chenji yako🤣🤣
 
Back
Top Bottom