Yanga msitafute mfungaji bora wa ligi

Yanga msitafute mfungaji bora wa ligi

Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo:

1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi.

2. mchezaji huyo anakuwa na hofu ya kupitwa kwenye ushindani na kusababisha kukosa kufunga hata magoli ya wazi.

3. Baadhi ya wachezaji wenzake kwenye kikosini wanaweza kuacha kumpa ushirikiano

4. Mchezaji huyo utakamiwa sana na wachezaji wa timu pinzani

5. Timu yenu inaweza kukosa kupata magoli mengi au point 3 kwenye kila mechi.

6. Wachezaji wengine kwenye timu watakata tamaa.

Waacheni magoli ya aina mbalimbali yafungwe na wachezaji wa aina mbalimbali kwenye timu, hatimae Yanga inashinda kama timu.
Hoja nzuri.

Tunaifikishaje kwa makocha wetu?
 
Hoja nzuri.

Tunaifikishaje kwa makocha wetu?
Watambue kuwa mpra ni mchezo wa kutumia nguvu na kugongana uwanjani, mchezaji ni binadamu sawa na binadamu wengine, anachoka, anaumia, anawaza, anachukua, anafurahi anahusuni, nk. Haiwezekani mchezaji awe fit kimwili, kiakili, kijamii na kisaikolojia muda wote na siku zote za mechi za ligi, FA, Caf, timu yake ya taifa, mechi za kirafiki na kombe la mapinduzi. Lazima ziko mechi atacheza chini ya kiwango kama hutampunzisha kwa kuogopa kuwa utaukosa ufungaji Bora.
 
Umeandika kama upo serious vile ila behind the scene hupendi kabisa mayele awe top score
 
Umeandika kama upo serious vile ila behind the scene hupendi kabisa mayele awe top score
Akiwa au asiwe top score Kuna madhara gani kwa timu? Kikubwa ni points 3 kila mechi baasi. Kama anachezeshwa kwaajili ya kupata alama 3 ni sawa lakini kama anachezeshwa ili TU kuongeza magoli yake hapana
 
Wamekusikia leo ameanza makambo
Si umeona? wapinzani walijiandaa na kumkaba Mayele bahati mbaya akaja Makambo plan yao ikavurugika, baadae akaja Makambo wakiwa wameshachoka.
 
Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo:

1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi.

2. mchezaji huyo anakuwa na hofu ya kupitwa kwenye ushindani na kusababisha kukosa kufunga hata magoli ya wazi.

3. Baadhi ya wachezaji wenzake kwenye kikosini wanaweza kuacha kumpa ushirikiano

4. Mchezaji huyo utakamiwa sana na wachezaji wa timu pinzani

5. Timu yenu inaweza kukosa kupata magoli mengi au point 3 kwenye kila mechi.

6. Wachezaji wengine kwenye timu watakata tamaa.

Waacheni magoli ya aina mbalimbali yafungwe na wachezaji wa aina mbalimbali kwenye timu, hatimae Yanga inashinda kama timu.
Hata kama hayo ni maelekezo, kuna mwamba anaitwa morrison hawezi kuyafuata, kinachombeba huwa ana hulka ya kuchukua alichoambiwa anachanganya na za kwake
 
Gamondi anafuata ushauri wangu huu, sijui kausoma Uzi huu? Hakuna haja ya kuwa na mfungaji Bora kutoka Yanga, ila Kuna haja ya makombe
 
Hivi yule mchezaji wetu aliyeenda Egypt anaendelea kutetema au anatetemeka
 
Hivi yule mchezaji wetu aliyeenda Egypt anaendelea kutetema au anatetemeka
Yule anajutia, kashacheza mechi nne, 2 za ligi na 2 za CAF bila goli wala assist. Hana furaha bado, tumpe muda huenda taa ya kijani itawaka, la sivyo ataungana na clatous, Miquison na yule mbio nyingi wa Yanga katika kusikitika.
 
Nimeshangaa jana wamefunga goal 6 alafu yeye hajafunga hata moja
 
Yule anajutia, kashacheza mechi nne, 2 za ligi na 2 za CAF bila goli wala assist. Hana furaha bado, tumpe muda huenda taa ya kijani itawaka, la sivyo ataungana na clatous, Miquison na yule mbio nyingi wa Yanga katika kusikitika.
Arud tu nyumbani tutampokea
 
Arud tu nyumbani tutampokea
Nilimwambia Mayelle kuwa kama anataka fedha aende pyramids lakini kama anataka furaha abaki Yanga hata kwa fedha pungufu kidogo. Maana fedha haileti furaha na furaha haileti fedha,
 
Naunga mkono hoja. Ifikie wakati Yanga wawekeze nguvu kubwa kwenye kupata pointi 3 muhimu.
Kumbebesha majukumu mengi Fiston Mayele, kutamuongezea tu fatique kabla hata msimu wa ligi kuisha.

Lakini pia waache kumpa majukumu ya kupiga penati. Yanga ina wapiga penati wengi! Mfano Juma Shabani, Dickson Job, Yannick Bangala, nk.

Ningeshangaa sana kama angefunga ile penati kwenye mechi na Polisi!
Mayelle kule atapata tabu ya kufunga kwakuwa mfumo wa timu haumzunguuki Mayelle kama ule wa yanya wa Nabi. Nabi alikuwa anamsaidia Mayelle achukue kiatu Cha mfungaji bora lakini kule pyramids hakuna kitu kama hicho, ni kila mtu apambane mwenyewe kuingiza mpira nyavuni.
 
Yule si walisema alikuwa kwa mkopo tu! Inakuwaje anahusishwa tena na hiyo timu
Kukataa mshahara wa 40m kwa mwezi wa Timu ndogo kama Yanga isiyokuwa na hata uwanja wake ni ukatili wa hali ya juu sana, Kuna consequences zake. Hawana fedha nyingi sana lakini Wana mahaba ya dhati.
 
Gamondi amenielewa, inatosha sana. Nabi alikuwa anataka na kumfanya mayelle awe mfungaji bora.
 
Back
Top Bottom