mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Hata mwaka jana mlisema hivyo hivyonimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Weka hoja sawasawa ikibainisha sababu za kwa nini yanga asiwe bingwa.Umeandika kama vile hujapendezwa na yanga kuwa bingwa.nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Mkuu upo?? Umeona bingwa Nani??nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Na mikia wasitegemee hata nafasi ya nne kama ndo mwendo huu kwa kugushi mikataba
Kusema kweli watani zangu kandambili wamejipanga vizuri, sijui ni nani wa kumpora ubingwa huu.
je kufungwa kwa mnyama ni juhudi za nani?Kwani ni nani asiyejua kuwa ubingwa wa kandambili mwaka ni juhudi za TFF ndizo zilizoifikisha Kandambili hapo ilipo......isingekuwa MALINZI kuongea na marefa muda huu tungekuwa tunaongea mengine.....
mkuu uje utuambie kufungwa kwa simba Ni juhudi za nani,tena mfululizoKwani ni nani asiyejua kuwa ubingwa wa kandambili mwaka ni juhudi za TFF ndizo zilizoifikisha Kandambili hapo ilipo......isingekuwa MALINZI kuongea na marefa muda huu tungekuwa tunaongea mengine.....
je kufungwa kwa mnyama ni juhudi za nani?