Yanga msitegemee msimu ujao kuwa bingwa

Yanga msitegemee msimu ujao kuwa bingwa

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
 
mkuu sipingani na wew lakin naomba sababu zilizoshiba kwa nini YANGA asitegemee ubingwa msimu ujao? au ituambie timu gani itegemee ubingwa msimu ujao na kwasababu zipi za kiufundi ukiachana na sababu za kishabiki
 
nimefatilia kwa majigambo kuwa wao ni wa kitaifa lakini msimu unaokuja msitarajia kubeba ubingwa pamoja na makeke ya usajiri
Weka hoja sawasawa ikibainisha sababu za kwa nini yanga asiwe bingwa.Umeandika kama vile hujapendezwa na yanga kuwa bingwa.
 
Kwani ni nani asiyejua kuwa ubingwa wa kandambili mwaka ni juhudi za TFF ndizo zilizoifikisha Kandambili hapo ilipo......isingekuwa MALINZI kuongea na marefa muda huu tungekuwa tunaongea mengine.....
 
je kufungwa kwa mnyama ni juhudi za nani?
 
Kwani ni nani asiyejua kuwa ubingwa wa kandambili mwaka ni juhudi za TFF ndizo zilizoifikisha Kandambili hapo ilipo......isingekuwa MALINZI kuongea na marefa muda huu tungekuwa tunaongea mengine.....
mkuu uje utuambie kufungwa kwa simba Ni juhudi za nani,tena mfululizo
 
Labda achukue azama kwa mbali vile... Lakini Huyu Sumba ambae saizi ni bora aitwe paka atasubiri sana
 
Sumba alipe deni la watu la sivo atajikuta amekua wa damponi
 
Wachezaji walioko simba,viongozi na bench la ufundi.Hawana uwezo wa kutetea jina la timu kubwa ya simba.
 
Pana ugonjwa umekuwa mkubwa siku hizi penye soka na hata siasa watu wanajitoa fahamu tu.
 
Back
Top Bottom