Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
HaABARI WAKUU.

Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk.

Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es salaam.

VIONGOZI WA YAANGA MSITUAIBISHE KWA YAFUATAYO.
1. Msiruhusu kujadili migogoro yenu na TFF Kwa viongozi wa CAF NA FIFA.nimesikia msemaji wenu aliyefungiwa akiomba kuonana na viongozi wa CAF na FIFA.

2. CAF super league inaziduliwa Leo na Simba anaweza kushiriki kwa sababu ni mkubwa kuliko nyie MSIJE kuanza kuichukia CUF. Na Simba atapata Bilioni 8 kama sehemu ya maandalizi.

3. Tunaomba mdiruke ukuta kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Miaka yote mi 4 mmekuwa watu wa kuruka ukuta kupita milango isiyo ruhusiwa nk.

YANGA MSITUDHALILISHE TAFADHALI.
 
Ukiona zimepita dakika 20 uzi wako haujajibiwa hata na wale walio upande wako ujue kuwa umeandika ukolo.
 
HaABARI WAKUU.

Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk.

Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es salaam.

VIONGOZI WA YAANGA MSITUAIBISHE KWA YAFUATAYO.

1. Msiruhusu kujadili migogoro yenu na TFF Kwa viongozi wa CAF NA FIFA.nimesikia msemaji wenu aliyefungiwa akiomba kuonana na viongozi wa CAF na FIFA.

2. CAF super league inaziduliwa Leo na Simba anaweza kushiriki kwa sababu ni mkubwa kuliko nyie MSIJE kuanza kuichukia CUF. Na Simba atapata Bilioni 8 kama sehemu ya maandalizi.

3. Tunaomba mdiruke ukuta kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Miaka yote mi 4 mmekuwa watu wa kuruka ukuta kupita milango isiyo ruhusiwa nk.

YANGA MSITUDHALILISHE TAFADHALI.
Ndg killazer wetu mleta uzi.
Kesi ya nyani hupelekewa nyani mwenzao.
Yanga na Manara wao ni wadau wa mpira.
Ikiwa wahahisi hawatendewi haki na TFF kuongea na FIFA...endapo watafuat utaratibu huko sio kuaibishwa bali kuwekana sawa na kutafuta haki na sio ajabu wala aibu.
 
Hakuna kiongozi, mchezaji Wala shabiki yoyote wa Simba mwenye uhakika wa Simba kuifunga Yanga Kwa Sasa.
Simba kuifunga Yanga sio jambo la ajabu, ajabu ni Simba SC kuikaribia CAF Super League, ambapo itakuwa inapata kiasi cha bilioni 8 kila mwaka kwa ajili ya maandalizi.

Utopolo jitahidini muisogelee Simba SC, punguzeni mayowe.
 
Back
Top Bottom