Yanga mtapewa "Ladies Free" mpaka lini?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476


Vijana wangu wameniambia kwamba Yanga wamelipiwa. Nafikiri wamelipiwa na mwarabu GSM. Hili swala litaendelea mpaka lini, hamuoni aibu watu wazima kulipiwa na mwarabu. Sasa inatofauti gani na ladies free?!

Kwa sisi Simba viingilia ni kama inavyoonekana
 
UTO kwa vitu vya bure hawajambo.

Hawa ndio kwenye kampeni wanawahi kofia,kanga,baiskel na pikipiki za bure.
 
Wameshazoea vya bure hao kuwasema ni kuwaonea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…