Wachezaji hawa wabovu wanacheza na Al masry wachezaji wazuri wanawinda mbuzi geti la uwanja wa taifa.MNGEKUWA SHINYANGA ENZI HIZO VIKONGWE VINGEKOMATimu inasajili hovyo kwenye mechi mnaanza kuhangaika na wazee wafupi walio beba mbuzi.
Mta dhalilika mpaka lini!!
Tumieni vizuri madirisha ya usajili ili kwenye mechi msiwe mna timua mbio.
Huyo ni mzee wa utopolo akili hana..wao usajil wao wameishia kukodi mabaunsa waje wawazuie Simba...aibu kabisaWachezaji hawa wabovu wanacheza na Al masry wachezaji wazuri wanawinda mbuzi geti la uwanja wa taifa.MNGEKUWA SHINYANGA ENZI HIZO VIKONGWE VINGEKOMA
Kwani Mzee Magoma ni mfupi au Mrefu?Ni kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari.
Kwani wazee wafupi wana shida gani . Nimetafakari sana hata sipati jibu.
Ni vema uongozi wa Yanga kwa niaba ya timu na Mashabiki wao WATUOMBE MSAMAHA SISI WAZEE WAFUPI. Vinginevyo tunawapeleka Mahakamani.
Halafu mbona sisi tupo vizuri tu. Hata hapa mtaani kwetu kimaendeleo nimewazidi warefu wengi tu, hata kipindi nasoma nilikuwa najua Hesabu kuliko warefu
Eti makomandoo,sijui kambi yao ya jeshi ipo sirriaHuyo ni mzee wa utopolo akili hana..wao usajil wao wameishia kukodi mabaunsa waje wawazuie Simba...aibu kabisa
Mmetudgalilisha sana sisi wazee wafupi. Katika hili Nimewachukia sana Yanga.Hivi mfano Mtu akaulizwa am describe watuhumiwa walikuwaje akasema ni vizee, vyeusi vifupi, ndio ametukana watu wafupi au wazee?
Hebu acha hizo wwNi kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari.