Ni kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari.
Kwani wazee wafupi wana shida gani . Nimetafakari sana hata sipati jibu.
Ni vema uongozi wa Yanga kwa niaba ya timu na Mashabiki wao WATUOMBE MSAMAHA SISI WAZEE WAFUPI. Vinginevyo tunawapeleka Mahakamani.
Halafu mbona sisi tupo vizuri tu. Hata hapa mtaani kwetu kimaendeleo nimewazidi warefu wengi tu, hata kipindi nasoma nilikuwa najua Hesabu kuliko warefu