YANGA: Mvua mnayoiyogopa umefikia na Algeria

YANGA: Mvua mnayoiyogopa umefikia na Algeria

"Hii mvua imetushangaza sana, Wachezaji wa Yanga wakishambulia sana lango la USM Algiers na yenyewe inaongezeka, ila Waarabu wakiwa wanashambulia lango la Yanga inapungua.

Halafu timu zilipoenda mapumziko mvua nayo ikaenda mapumziko (ikakatika), timu ziliporudi uwanjani na yenyewe ikarudi. Hii maana yake ni nini? Ni mvua ya namna gani hii?" - Alisikika shabiki wa Yanga aliyekuwepo pale kwa Mkapa akiongea kwa uchungu mkubwa.

Nyie si mlimtukana Mgunda bila kosa? Wazee wa Tanga walikasirika sana, sasa mtakula jeuri yenu.
Mzee wa pumba huyu hapa.Sina hakika kama alishawahi kumiliki akili japo kwa sekunde Moja. Manara ajengewe sanamu pale utopoloni
Screenshot_20230603-061241.jpg
 
Kiukweli nikimuona mtu mpya machoni pangu halafu nikajua ni utopolo gafla namchukia.
 
Mazee ya kufungulia bomba afu aibu yao hayajafika fainali yoyote achilia mbali kuchukua kombe maana hawana uwezo huo, hizo level za wakubwa, tuliza mikia weyee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.

NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Ukubwa gani mkuu zaidi ya Simba tushafikaga huko kitambo jiandae kisaikolojia.
 
Hii mvua ni kweli Simba tumeituma cheki Leo ipo kesho kutakua na hali ya mawingu[emoji119][emoji23]
Screenshot_20230603-115259.jpg
 
Yanga kuleta kombe itakuwa ni sawa na mama samia leo hii aache urais eti aende chadema akagombee uenyekiti
 
Na tumepeleka nyingine itafika Algiers dakika kumi baada ya mchezo kuanza watakomaje hawa wahuni
Usijali meza itapinduliwa ule uwanja pitch yake haina Matope kuna goli mbili za mayele na Moja la Morrison
 
Back
Top Bottom