Yanga na Bernad Morrison nani mkweli kuhusu mkataba wa mchezaji huyu?

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Kwanini Yanga msiutoe huo Mkataba wadau tuuone? Uongozi Umekomaa kusema mkataba upo TFF, kwani nyie hamna huo Mkataba?

GSM ni Janja janja, kwa Mwendo huu hata ule mkataba na La Liga uchunguzwe.

View attachment 1487463
 
Huyu asituzingue,Yanga ni kubwa kuliko yeye,wamepita wachezaji wa maana kina Lunyamila hawakuwa na nyodo hizi,kale ka goli alikowafunga mikia kasimvimbishe kichwa
 
Nani kakwambia mkataba huwa unatolewa hadharani wewe
Sheria gani inazuia mkataba usionyeshwe?huo ni uamuzi wa mchezaji either kuonyesha hadharani u kutokuonyesha mkataba wake,mbona anaposainishwa mkataba anaonyeshwa akisaini
 
HAJASEMA kuna timu zinamtaka anacho sema YEYE MKATABA WAKE UNAISHA MWEZI UJAO.
sasa yanga wataamua kumpa mkataba mpya au AONFOKE mbona mnashindwa kuelewa vitu vidogo?
hizo tim zinazo mtaka si zije mezani zizungumze na Yanga? shida nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…