Yanga na jezi nyeusi

Yanga na jezi nyeusi

Hiyo ya njano ndio haswa iliyosajiliwa kuvaa ugenini

Ni njano, kwa jinsi Yanga walivyochagua wao (sababu labda waulizwe viongozi)

Ni kanuni ya FIFA kuvaa jezi zenye namba walau mgongoni kwa ajili ya utambulisho wa timu na mchezaji
Kumbuka, hata refa anatakiwa awe na uwezo wa kuwatambua wachezaji kwa jezi na namba zao ili afanye maamuzi sahihi
Sasa unabisha nini lengo la jezi ni kuleta utofauti bainanya timu na lengo la number ni kutofautisha wachezaji. Sasa ww kelele za nini ,Madrid karibia 60-70% ya mechi zake anavaa rangi nyeupe mbona sio issues kama huku kwenu.
 
Basi mimi sipendi ubishi wa kijinga, kila mtu abaki na upeo wake wa kutafsiri kwa kadiri alivyosoma darasani au kujaliwa kipaji
Bado hujaleta Sheria inayowakataza Yanga kuvaa jezi nyeusi unaleta maoni unataka tuyakubali?
Na bado naendelea kusema hakuna hiyo Sheria wala kanuni na ndo maana hata kamati ya masaa 72 inashindwa kuchukua hatua.
 
Sasa unabisha nini lengo la jezi ni kuleta utofauti bainanya timu na lengo la number ni kutofautisha wachezaji. Sasa ww kelele za nini ,Madrid karibia 60-70% ya mechi zake anavaa rangi nyeupe mbona sio issues kama huku kwenu.
Hawa watu wanaleta ubishi wa kijinga tu.

Bayern Munich, Dortmund mechi nyingi sana huwa wanavaa jezi zao za home na hakunaga kelele.

Shida nayoiyona Wabongo wengi mpira wameanza shabikia juzi hapa.
 
,Madrid karibia 60-70% ya mechi zake anavaa rangi nyeupe mbona sio issues kama huku kwenu.
Madrid haishiriki ligi kuu ya NBC, inashiriki La Liga. Kila mashindano yana kanuni zake (sio sheria, nimesema kanuni za mashindano), na kwa Tanzania inayopeleka kanuni TFF ni Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hii (ila Madrid haipo)
 
Kazi ipo kama viongozi wa TFF wa akili kama zako basi kazi tunayo kwenye mpira wetu.
 
Sema unashindwa kukiri kwamba ulikuwa hujui mambo mengi kuhusu kanuni za mashindano, nimejaribu kukufungua macho. Ukiachana na hilo la jezi maana linaonekana lina maslahi, kwa faida yako ni kwamba Bodi ya Ligi (TPLB) huwa inaandaa kanuni za mashindano kabla hayajaanza, na huwa inaundwa na vilabu vyote vya ligi ikiwemo Yanga. Kanuni zina mambo mengi ikiwemo bingwa, wawakilishi, watakaoshuka daraja, timu zikilingana pointi, timu zikilingana tofauti ya mabao, zawadi nk
 
Mambo mengi yapi kuna mengine ya kipuuzi na hayana maana na ndio maana wenzetu hawana muda wa kudiscuss vitu hivyo vya kipuuzi.
 
Madrid haishiriki ligi kuu ya NBC, inashiriki La Liga. Kila mashindano yana kanuni zake (sio sheria, nimesema kanuni za mashindano), na kwa Tanzania inayopeleka kanuni TFF ni Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hii (ila Madrid haipo)
Mngeshinda mechi zenu haya yote yasingekuepo sasa hivi ni kutafta ubaya watu
 
Vipi kama Yanga inaaua kuanzia Sasa hio jezi nyeusi ndio jezi rasmi

Mtawafanyaje!?
 
Mambo mengi yapi kuna mengine ya kipuuzi na hayana maana na ndio maana wenzetu hawana muda wa kudiscuss vitu hivyo vya kipuuzi.
Wenzenu akina nani, na uliwahi kuwa nao wapi?
 
Back
Top Bottom