Yanga na jezi nyeusi

Yanga na jezi nyeusi

(14) Timu zitakaguliwa kwenye vyumba vyao vya kuvalia na endapo rangi za sare za timu zote zitafanana timu ambayo haikufika kwenye kikao cha maandalizi italazimika kubadili jezi.
(i) Kila kilabu itasajili TFF rangi ya jezi zake kwa mechi za nyumbani na ugenini kabla ya kuanza msimu wa Ligi. Kilabu itakayokiuka itatozwa faini ya Tshs. 300,000/=

NB: Hizi ni kanuni za msimu wa 2009, huenda adhabu imebadilika
Kumbe kabla ya mechi kuna kikao cha kudiscuss rangi za jezi ili kuleta utofauti, sasa Yanga wekosea wapi.

Tudiscus vitu vya maana ,Morocco wale wewekeza kwa timu za vijana leo wana enjoy uwekezaji wao, sisi tuna discuss jezi mpira wetu una safari ndefu.

Mnaacha kuzikomalia hizi timu kinvest kwa vijana wadogo mnakomaa na rangi za jezi.
 
Kumbe kabla ya mechi kuna kikao cha kudiscuss rangi za jezi ili kuleta utofauti, sasa Yanga wekosea wapi.
kudiscuss rangi za jezi kuona kama ya mgeni na ya mwenyeji zimefanana. Kama hazijafanana kila timu inatakiwa ivae jezi iliyoisajili kabla ya msimu
 
Tudiscus vitu vya maana ,Morocco wale wewekeza kwa timu za vijana leo wana enjoy uwekezaji wao, sisi tuna discuss jezi mpira wetu una safari ndefu.
Achana na Wamorocco, ile ni timu ya taifa na hivi ni vilabu. Nani amekwambia Morocco wamewekeza? Muwe mnapata taarifa kabla hamjapost
 
Hivi sheria inasemaje juu ya uvaaji wa jezi aina moja home and away? Naona jamaa hawabadili jezi.
Mikia kweli akili zenu ziko mikiani. Tayari hiyo nayo ni hoja?. Sawa imekukwaza sana kwa nini wanavaa jezi nyeusi?. Sawa tumepata sababu. Wanyang'anywe point tu,maana Hakuna namna sasa
 
Poa basi tuletee huyo kanuni wote tuisome hapa tuone kosa liko wapi
(14) Timu zitakaguliwa kwenye vyumba vyao vya kuvalia na endapo rangi za sare za timu zote zitafanana timu ambayo haikufika kwenye kikao cha maandalizi italazimika kubadili jezi.
(i) Kila kilabu itasajili TFF rangi ya jezi zake kwa mechi za nyumbani na ugenini kabla ya kuanza msimu wa Ligi. Kilabu itakayokiuka itatozwa faini ya Tshs. 300,000/=

NB: Hizi ni kanuni za msimu wa 2009, huenda adhabu imebadilika
 
(14) Timu zitakaguliwa kwenye vyumba vyao vya kuvalia na endapo rangi za sare za timu zote zitafanana timu ambayo haikufika kwenye kikao cha maandalizi italazimika kubadili jezi.
(i) Kila kilabu itasajili TFF rangi ya jezi zake kwa mechi za nyumbani na ugenini kabla ya kuanza msimu wa Ligi. Kilabu itakayokiuka itatozwa faini ya Tshs. 300,000/=

NB: Hizi ni kanuni za msimu wa 2009, huenda adhabu imebadilika
Sasa hapo Yanga imevunja kanuni ipi?
 
Achana na Wamorocco, ile ni timu ya taifa na hivi ni vilabu. Nani amekwambia Morocco wamewekeza? Muwe mnapata taarifa kabla hamjapost
Kwani wale wachezaji wametokea kwenye nini si vilabu?

Msingi wa timu ya taifa unaanzia kwenye vilabu, hasa kwa timu za vijana. Na kuna wengine wanawapeleka vijana kwenye academic za nje.

Nyie mnazungumiza jezi ,hebu watizame Madrid na Arsenal una cha kujifunza. Mnapoteza muda kwa vitu vya kipumbavu kisa mawazo ya kishirikina.
 
kudiscuss rangi za jezi kuona kama ya mgeni na ya mwenyeji zimefanana. Kama hazijafanana kila timu inatakiwa ivae jezi iliyoisajili kabla ya msimu
Kwani hiyo rangi nyeusi ili sajiliwa kipindi gani?
 
Sasa hapo Yanga imevunja kanuni ipi?
Ngoja nikuwekee picha labda utaelewa Home, Away na Third Kit zilizosajiliwa TFF ni zipi

1670491052535.png
1670491124159.png
1670491200413.png

Nyeusi ni third kit na Yanga wanatakiwa waitumie iwapo tu timu mwenyeji itakuwa inatumia jezi ya njano kama ya nyumbani
Kwa hiyo akiwa ugenini haruhusiwi kuvaa jezi ya njano?

Hivi kijani na njano ipi ya ugenini?

Swali jepesi ,hivi why tunavaa jezi kipindi cha mechi au lengo kuu la kuvaa jezi ni nini?
 
Kwani wale wachezaji wametokea kwenye nini si vilabu? Msingi wa timu ya taifa unaanzia kwenye vilabu, hasa kwa timu za vijana. Na kuna wengine wanawapeleka vijana kwenye academic za nje. Nyie mnazungumiza jezi ,hebu watizame Madrid na Arsenal una cha kujifunza. Mnapoteza muda kwa vitu vya kipumbavu kisa mawazo ya kishirikina.
Wachezaji wa Morocco wametokea kwenye vilabu vya Ulaya na wengine ni wazaliwa wa huko huko wamekuja tu kuchezea Morocco halafu wanaenda kuishi kwao Ufaransa na Hispania. Sasa sijajua kama unayo taarifa hii, na kama ulidhani wameandaliwa Morocco basi pitia upya vyanzo vyako
 
Nyeusi ni third kit na Yanga wanatakiwa waitumie iwapo tu timu mwenyeji itakuwa inatumia jezi ya njano kama ya nyumbani
Mkuu acha kulazimisha mambo hiyo Sheria haijakataza Yanga kuvaa jezi yoyote pale .
Labda ulete Sheria inayosema hivo vinginevyo hayo ni maoni na mawazo yako tu.
 
Kwa hiyo akiwa ugenini haruhusiwi kuvaa jezi ya njano?
Hiyo ya njano ndio haswa iliyosajiliwa kuvaa ugenini

Hivi kijani na njano ipi ya ugenini?
Ni njano, kwa jinsi Yanga walivyochagua wao (sababu labda waulizwe viongozi)

Swali jepesi ,hivi why tunavaa jezi kipindi cha mechi au lengo kuu la kuvaa jezi ni nini?
Ni kanuni ya FIFA kuvaa jezi zenye namba walau mgongoni kwa ajili ya utambulisho wa timu na mchezaji
Kumbuka, hata refa anatakiwa awe na uwezo wa kuwatambua wachezaji kwa jezi na namba zao ili afanye maamuzi sahihi
 
Wachezaji wa Morocco wametokea kwenye vilabu vya Ulaya na wengine ni wazaliwa wa huko huko wamekuja tu kuchezea Morocco halafu wanaenda kuishi kwao Ufaransa na Hispania. Sasa sijajua kama unayo taarifa hii, na kama ulidhani wameandaliwa Morocco basi pitia upya vyanzo vyako
Sio kama kwenu wenzenu wana program za muda mrefu kuanzia za miaka kumi na kuna wengine wanachukuliwa mpaka na academic za nje, mfanokuna dogo Shafih Dauda anampost ni Mtz anacheza Ajax ,hivi yule kazaliwa ulaya.

Kuna timu ulaya nyingine zinachukua mpaka watoto wadogo na kuwapeleka kwenye academic zao, tatizo kwenu huku hamna misingi kwenye soka la vijana.

Wenzenu Morocco wana misingi mizuri tokea ngazi za vijana hata kwa club zao za nyumbani na husimuone kijana yupo kwenye hizo academic kubwa ukifuatilia historia yao wameanzia na kuonwa ktk academic hizi hizi za vilabu vya ndani.

Endeleeni kudiscuss rangi za jezi.
 
Mkuu acha kulazimisha mambo hiyo Sheria haijakataza Yanga kuvaa jezi yoyote pale .
Labda ulete Sheria inayosema hivo vinginevyo hayo ni maoni na mawazo yako tu.
Basi mimi sipendi ubishi wa kijinga, kila mtu abaki na upeo wake wa kutafsiri kwa kadiri alivyosoma darasani au kujaliwa kipaji
 
Back
Top Bottom