joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kumbe kabla ya mechi kuna kikao cha kudiscuss rangi za jezi ili kuleta utofauti, sasa Yanga wekosea wapi.(14) Timu zitakaguliwa kwenye vyumba vyao vya kuvalia na endapo rangi za sare za timu zote zitafanana timu ambayo haikufika kwenye kikao cha maandalizi italazimika kubadili jezi.
(i) Kila kilabu itasajili TFF rangi ya jezi zake kwa mechi za nyumbani na ugenini kabla ya kuanza msimu wa Ligi. Kilabu itakayokiuka itatozwa faini ya Tshs. 300,000/=
NB: Hizi ni kanuni za msimu wa 2009, huenda adhabu imebadilika
Tudiscus vitu vya maana ,Morocco wale wewekeza kwa timu za vijana leo wana enjoy uwekezaji wao, sisi tuna discuss jezi mpira wetu una safari ndefu.
Mnaacha kuzikomalia hizi timu kinvest kwa vijana wadogo mnakomaa na rangi za jezi.