Mi ukinipa navaaNa nyie vaeni
Sasa unabisha nini lengo la jezi ni kuleta utofauti bainanya timu na lengo la number ni kutofautisha wachezaji. Sasa ww kelele za nini ,Madrid karibia 60-70% ya mechi zake anavaa rangi nyeupe mbona sio issues kama huku kwenu.Hiyo ya njano ndio haswa iliyosajiliwa kuvaa ugenini
Ni njano, kwa jinsi Yanga walivyochagua wao (sababu labda waulizwe viongozi)
Ni kanuni ya FIFA kuvaa jezi zenye namba walau mgongoni kwa ajili ya utambulisho wa timu na mchezaji
Kumbuka, hata refa anatakiwa awe na uwezo wa kuwatambua wachezaji kwa jezi na namba zao ili afanye maamuzi sahihi
Bado hujaleta Sheria inayowakataza Yanga kuvaa jezi nyeusi unaleta maoni unataka tuyakubali?Basi mimi sipendi ubishi wa kijinga, kila mtu abaki na upeo wake wa kutafsiri kwa kadiri alivyosoma darasani au kujaliwa kipaji
Hawa watu wanaleta ubishi wa kijinga tu.Sasa unabisha nini lengo la jezi ni kuleta utofauti bainanya timu na lengo la number ni kutofautisha wachezaji. Sasa ww kelele za nini ,Madrid karibia 60-70% ya mechi zake anavaa rangi nyeupe mbona sio issues kama huku kwenu.
Madrid haishiriki ligi kuu ya NBC, inashiriki La Liga. Kila mashindano yana kanuni zake (sio sheria, nimesema kanuni za mashindano), na kwa Tanzania inayopeleka kanuni TFF ni Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hii (ila Madrid haipo),Madrid karibia 60-70% ya mechi zake anavaa rangi nyeupe mbona sio issues kama huku kwenu.
Sawa...hakuna hiyo Sheria wala kanuni na ndo maana hata kamati ya masaa 72 inashindwa kuchukua hatua.
Kazi ipo kama viongozi wa TFF wa akili kama zako basi kazi tunayo kwenye mpira wetu.Madrid haishiriki ligi kuu ya NBC, inashiriki La Liga. Kila mashindano yana kanuni zake (sio sheria, nimesema kanuni za mashindano), na kwa Tanzania inayopeleka kanuni TFF ni Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hii (ila Madrid haipo)
Sema unashindwa kukiri kwamba ulikuwa hujui mambo mengi kuhusu kanuni za mashindano, nimejaribu kukufungua macho. Ukiachana na hilo la jezi maana linaonekana lina maslahi, kwa faida yako ni kwamba Bodi ya Ligi (TPLB) huwa inaandaa kanuni za mashindano kabla hayajaanza, na huwa inaundwa na vilabu vyote vya ligi ikiwemo Yanga. Kanuni zina mambo mengi ikiwemo bingwa, wawakilishi, watakaoshuka daraja, timu zikilingana pointi, timu zikilingana tofauti ya mabao, zawadi nkKazi ipo kama viongozi wa TFF wa akili kama zako basi kazi tunayo kwenye mpira wetu.
Mambo mengi yapi kuna mengine ya kipuuzi na hayana maana na ndio maana wenzetu hawana muda wa kudiscuss vitu hivyo vya kipuuzi.Sema unashindwa kukiri kwamba ulikuwa hujui mambo mengi kuhusu kanuni za mashindano, nimejaribu kukufungua macho. Ukiachana na hilo la jezi maana linaonekana lina maslahi, kwa faida yako ni kwamba Bodi ya Ligi (TPLB) huwa inaandaa kanuni za mashindano kabla hayajaanza, na huwa inaundwa na vilabu vyote vya ligi ikiwemo Yanga. Kanuni zina mambo mengi ikiwemo bingwa, wawakilishi, watakaoshuka daraja, timu zikilingana pointi, timu zikilingana tofauti ya mabao, zawadi nk
Siku zote mtu akishindwa visingizio hua ni vingiLet me reserve my comment
Ok sawaSiku zote mtu akishindwa visingizio hua ni vingi
Mngeshinda mechi zenu haya yote yasingekuepo sasa hivi ni kutafta ubaya watuMadrid haishiriki ligi kuu ya NBC, inashiriki La Liga. Kila mashindano yana kanuni zake (sio sheria, nimesema kanuni za mashindano), na kwa Tanzania inayopeleka kanuni TFF ni Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hii (ila Madrid haipo)
Hahahah inawaumaVaeni na nyie kama jezi ndio inacheza
Ngada Fc aka vigagula FC mna tabu sanaMbona mnhamisha mpira?.hapa hoja ni jezi ya Yanga nyeusi
Mazindiko FC
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi kabwili anacheza team gani maana mmeanza kujisahaulishaGadiel Michael Mbaga kamaliza adhabu yake ya kuroga?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wenzenu akina nani, na uliwahi kuwa nao wapi?Mambo mengi yapi kuna mengine ya kipuuzi na hayana maana na ndio maana wenzetu hawana muda wa kudiscuss vitu hivyo vya kipuuzi.
Kwani ligi imemalizika? 🤣Mngeshinda mechi zenu haya yote yasingekuepo sasa hivi ni kutafta ubaya watu
Dah..!!! Kulalama kumewazidi sasa..!!Hivi sheria inasemaje juu ya uvaaji wa jezi aina moja home and away? Naona jamaa hawabadili jezi.