Walahi kisu kimefika kwenye mfumo,asante Haji ManaraHawa si ndio waliotoa accusation kipindi kile kwenye mechi yetu na Asec Mimosa kupitia Manara akiwapa tahadhari kuwa tunapulizia sumu kwenye vyumba?
Kwenye mechi yao na Rivers United walikanusha madai yao kwa hoja ya kuwa "Rivers United wameona wamepoteza mechi wameamua kutafuta sababu"
Wakaenda mbali wakasema "hivi kwa kiwango kile cha Rivers United ambayo tumeipiga kwao tunawezaje kuihofia mpaka tu spray sumu"
Namimi nikaona kweli wana hoja
Lakini kwa USM ALGIERS nadhani kuna haja ya kuweka doubt. USM ALGIERS ambao waliondoka wakiwa wameshinda, unaweza ukajitetea kutumia utetezi ule ule uliotumia kwa Rivers United?
Hili ni tatizo ambalo linawezekana likawa kinafanyika kweli, timu inatumia madawa kuwadhoofisha wapinzani halafu kwenye media sifa zinaenda kwa Nabi na Mayele na wengine tunaambiwa sajilini muwe na timu nzuri kama sisi.
Ngoja tutaona tu mwisho wake
.Hawa si ndio waliotoa accusation kipindi kile kwenye mechi yetu na Asec Mimosa kupitia Manara akiwapa tahadhari kuwa tunapulizia sumu kwenye vyumba?
Kwenye mechi yao na Rivers United walikanusha madai yao kwa hoja ya kuwa "Rivers United wameona wamepoteza mechi wameamua kutafuta sababu"
Wakaenda mbali wakasema "hivi kwa kiwango kile cha Rivers United ambayo tumeipiga kwao tunawezaje kuihofia mpaka tu spray sumu"
Namimi nikaona kweli wana hoja
Lakini kwa USM ALGIERS nadhani kuna haja ya kuweka doubt. USM ALGIERS ambao waliondoka wakiwa wameshinda, unaweza ukajitetea kutumia utetezi ule ule uliotumia kwa Rivers United?
Hili ni tatizo ambalo linawezekana likawa linafanyika kweli, timu inatumia madawa kuwadhoofisha wapinzani halafu kwenye media sifa zinaenda kwa Nabi na Mayele na wengine tunaambiwa sajilini muwe na timu nzuri kama sisi.
Ngoja tutaona tu mwisho wake
Wewe tutusa anae husika na maandalizi ya mechi za CAF ni nani?Ndio maana nilikuwa nadhangaa yule striker wetu kwenye mechi ya juzi mbona hajafunga goli 2 peke yake kama ilivyo kawaida yake?
Kumbe vitoga wamepulizia sumu.
Na pale tulipuliziwa sumu tukacheza vile, mkija home ni mazishi
Hujui nafasi yako kama mwenyeji kwenye kuhakikisha usalama wa mgeni wako?Wewe tutusa anae husika na maandalizi ya mechi za CAF ni nani?
Yamewarudi wajikaze hivyo hivyo .Wasitafute huruma. Mchimba kaburi huingia mwenyewe..Mchimba shimo kaingia mwenyewe. Wakati Haji Manara anaisingizia Simba kuwa ina mchezo mchafu wa kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwa timu zinazokuja kushindana na Simba hapo Kwa Mkapa wana Yanga walimshangilia sana,sasa maandishi yake yale japo alikuja kuyafuta baadaye lakini tayari yalishasomwa duniani. Sasa huu ndiyo mrejesho wake. Tulionya sana kuwa Haji haichafui Simba peke yake bali Taifa zima tukaonekana tunamuonea wivu kwa limshahara analolipwa na GSM.
Mlimpokea Haji Manara kwa mbwembwe sasa ndiyo anawahanithi mchana kweupeKuna timu andazi zinafanya hii ujuma, Yanga muwe makin hapo kuna mchezo umatengenezwa la sivyo mtakuwa ni watu wa kukanusha na kupigwa faini.
Mwishowe mtafungiwa na ndio kitu kinachotafutwa
Hii Yanga iliyowekeza kwenye soka la kisayans kuan, ia benchi la ufundi mpaka kwa mashabiki na mwendelezo mzuri wa msingi katika uchumi wa timu, hali hii imekwisha washtua upande wa Andazi,
Wanajua sasa yanga inapaa si kutembea au kukimbia
Wamekwisha ona itakuwa ngumu kuipata hii yanga, njia nzuri na kuwapata ni hizi figisu tu na kuna kila dalili Yanga kualibiwa sifa zaidi
Ukiwaangalia andazi vizuri ni timu inayoendeshwa kijima zaidi kama si mfano wa enzi za mawe
Tumejionea wenyewe na Kamera zikiwachukua, wakiwasha moto katikati ya kiwanja,
Bado mikutano yao ikiendeshwa kienyeji kana ni mkutano wa arusi watu wakihaidjwa uongo
Timu inafanya usajiri kisa waifunge tu yanga na roho zao zinapona! [emoji848]
Timu mmiliki analalamika hasara kila akiongelea maendeleo ya timu yake, yaani haieleweki kiujua ni timu ya kufutahia robo robo kila mwaka na wanaridhika
Ni timu mpaka sasa wanabishana Raisi wa heshima kaweka pesa au hajaweka
Yaan haieleweki mambo yao mengi ni kama wanaliga ramli, ina usiri mkubwa sana, kwani wakiweka mambo yao hadharank kuna mashabiki wao watakufa kwa Presha
Yanga hivi sasa ukiyaka kujua lolote una Google tu unaona mshahara wa kila mchezaji na mipango ya timu
Haya nenda kwa timu ANDAZI sasa ni siri kubwa ipo yaan mpaka Ramli na tunguli zifanye kazi kubahatisha,
Rais wa heshima anaonekana kama timu ikitaka kufanikiwa, mara kazira ataki kuweka mpunga wa usajili
Viongozi wa Yanga kuweni makini dhidi ya hujuma za Doto hana nia nzuri na ndugue
Alizoea yeye tu ndo apitie mafanikio ila kwa sasa anamaumivu makubwa sana na anashindwa hata kulala,
Wivu unamsumbua anamaumivu makali sana msimu huu kwani jana cjochote alichoambulia, na ataroga sana mwaka huu, na fitina chungu nzima,
Yanga kuweni makini na huyu andazi a. K. a DoTo
Duh ni Bora ungekufa wewe Ila sio yule muuza nyama wa watu.hivi mkuu Mambo myafanye ninyi lakini ubaya uwe wa Simba kweli?Kuna timu andazi zinafanya hii ujuma, Yanga muwe makin hapo kuna mchezo umatengenezwa la sivyo mtakuwa ni watu wa kukanusha na kupigwa faini.
Mwishowe mtafungiwa na ndio kitu kinachotafutwa
Hii Yanga iliyowekeza kwenye soka la kisayans kuan, ia benchi la ufundi mpaka kwa mashabiki na mwendelezo mzuri wa msingi katika uchumi wa timu, hali hii imekwisha washtua upande wa Andazi,
Wanajua sasa yanga inapaa si kutembea au kukimbia
Wamekwisha ona itakuwa ngumu kuipata hii yanga, njia nzuri na kuwapata ni hizi figisu tu na kuna kila dalili Yanga kualibiwa sifa zaidi
Ukiwaangalia andazi vizuri ni timu inayoendeshwa kijima zaidi kama si mfano wa enzi za mawe
Tumejionea wenyewe na Kamera zikiwachukua, wakiwasha moto katikati ya kiwanja,
Bado mikutano yao ikiendeshwa kienyeji kana ni mkutano wa arusi watu wakihaidjwa uongo
Timu inafanya usajiri kisa waifunge tu yanga na roho zao zinapona! [emoji848]
Timu mmiliki analalamika hasara kila akiongelea maendeleo ya timu yake, yaani haieleweki kiujua ni timu ya kufutahia robo robo kila mwaka na wanaridhika
Ni timu mpaka sasa wanabishana Raisi wa heshima kaweka pesa au hajaweka
Yaan haieleweki mambo yao mengi ni kama wanaliga ramli, ina usiri mkubwa sana, kwani wakiweka mambo yao hadharank kuna mashabiki wao watakufa kwa Presha
Yanga hivi sasa ukiyaka kujua lolote una Google tu unaona mshahara wa kila mchezaji na mipango ya timu
Haya nenda kwa timu ANDAZI sasa ni siri kubwa ipo yaan mpaka Ramli na tunguli zifanye kazi kubahatisha,
Rais wa heshima anaonekana kama timu ikitaka kufanikiwa, mara kazira ataki kuweka mpunga wa usajili
Viongozi wa Yanga kuweni makini dhidi ya hujuma za Doto hana nia nzuri na ndugue
Alizoea yeye tu ndo apitie mafanikio ila kwa sasa anamaumivu makubwa sana na anashindwa hata kulala,
Wivu unamsumbua anamaumivu makali sana msimu huu kwani jana cjochote alichoambulia, na ataroga sana mwaka huu, na fitina chungu nzima,
Yanga kuweni makini na huyu andazi a. K. a DoTo
Mwarabu na allah akili zao zinafanana