Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Yanga wameshitakiwa tena CAF, mara hii mlalamikaji ni klabu USM Alger ambao walishinda 2-1 juzi jumapili. Msimu huu Yanga inashitakiwa mara ya 3 baada ya Club Africaine na Rivers United kulalamikia vitendo vya kupuliza dawa inayosadikiwa kuwa sumu dressing room
Mara ya kwanza Yanga hawakuadhibiwa,mara ya pili wakatozwa faini dola 35,000($35,000) mara hii uwezekano wa kudhibiwa ni mkubwa pia.USMA waliruhusiwa na wasimamizi kutoka CAF kutumia chumba cha meneja wa uwanja kama dressing room baada ya kuridhika na madai yao. Karma imewarudia
Kumbe Wenzetu Wamewekeza kwenye Kupiga Mdomo na Sumu.