Yanga na mashabiki mnaojazana taifa leo 28 may mnakwenda kushangilia sare (1-1) kama ifuatavyo

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
 
Vile vile majira ya saa 10 bado bahari itakuwa inaikimbia nchi kavu (yaani maji yatakuwa yanakwenda siyo kujaa)

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Mwenzako OKW BOBAN SUNZU hana hamu na Yanga, sasa subili na wewe unyolewe ili ubadili hii ID kwa aibu kubwa.

Duwa la Kuku halijawahi kumpata mwewe
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Au sio? Alger wa kawaida sana na huwez amini kama wanakula bao mbili hapo Kwa mkapa
 
Tunataka useme hivi yanga leo anatoa sare, ila akishinda mods wakupe ban, hilo tunataka maswala ya upepo sijui mapepo utajua mwenyewe na mapepo yako sisi hatuyaogopi
 
Mkuu.

Binafsi Mimi ni shabiki WA simba.

Hapa Jamii forum mashabiki WA Simba tunatambuana, Gunajitambua, na tunajua tuposti kitu Gani.

Mashabiki WA Simba tulikubaliana mambo ya maana ya KUPOSTI na sio UBASHIRI na utabili au LAMLI kama hizo.

Bado masaa ma hache Mechi inaapigwa kwanini usiwe na subra.
Friji yako haigandishi??????

TUSITIANE AIBU.
 
Mlikaa vikao?
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Nauliza, kwa nini timu za Tanzania mara nyingi zikiwa Tanzania zinacheza Jumamos au Jumapili, wakati timu za Uarabuni huwa mara nyingi zinacheza Ijumaa na mara nyingi zinashinda zikicheza siku hiyo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Yanga anashinda leo. Ingekuwa Ijumaa Waarabu wangeshinda.

Hata kwenye marudiano kama ni hiyo tarehe 3 Jumamosi, Yanga atashinda pia.

Katika ulimwengu wa kiroho timu za Uarabuni huwa ni lazima zishinde zikicheza Ijumaa huko kwao!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Lolote laweza kutokea, ila sio kwasababu ya utabiri wako, tuseme kwenye final sikozote yoyote anaweza kushinda, hata hivyo alipofikia Yanga ametheshimisha mnoooo ni doubt., Na hatutawadai, tutawapa maua yao.
 
Aibu yako hata wewe!!, Kwani kwa wale wa south mlisemaje?
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Kama ndi hivyo basi haina haja ya kocha wawe wanasajiliwa waganga na waganguzi kama wewe ndo wawe makocha wa kusoma mchezo

Utabiri wangu ni kuwa utaukimbia huu uzi baadae
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
...Sawa, Mkuu Matola! Ngoja tuone....
 
USM Alger anatakiwa abamizwe bao mbili bila hapo dimbani kwa mkapa, yaani mwarabu afe ndani nje YANGA ilete heshima Tanzania
 
Back
Top Bottom