Yanga na mashabiki mnaojazana taifa leo 28 may mnakwenda kushangilia sare (1-1) kama ifuatavyo

Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
yah mechi inaweza kuisha goli moja bila au mechi ikaisha na goli moja moja kama ulivyoandika
 
nakushauri kaangalie tena...
 
Washamba wa mikoani Leo watapigwa , watauziwa N CARD ambazo zilishatumika. Zile zilizonunuliwa jumla Sasa hivi zinalanguliwa
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Wewe ni mungu wa bahari ipi ?
 
Adui mkubwa wa Yanga ni Simba!!hata katika mechi za Kimataifa wanaturoga tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji617][emoji617][emoji617] Wananchi [emoji617][emoji617][emoji617]
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Najua mmeshazoea sasa, maana tangu makundi Yanga imekuwa ikiwahamisheni hamisheni timu.
Yaani kila timu iliyopambana na Yanga kwwnye Confederation mmeshangilia nyie, hadi ambazo hazikupambana na Yanga mlizoombea zikutane na Yanga zote mmeshangilia wakati timu yenu hata haishiriki michuano hiyo.

Bahati mbaya kuhamishwahamishwa huko kumewaathiri hadi mkajihamisha matumizi asili ya maumbile yenu
 
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!

Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!

Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10 kutoka Tanzania kuelekea kaskazini/magharibi havitakuwa na ukinzani mkubwa kama ambavyo vinakuja Tanzania vitakavyopata tabu!

Hata wasafiri wa kutoka Zanzibar kwa boat Leo majira ya saa 10 wataweza kudhibitisha mtikiso wa upepo huo!

Hiyo ni ishara kwamba yanga hawatabebeka kwa uchawi muda huo wa saa 10, Bali hadi saa 10:59 ndipo uchawi unaweza kuanza kufanya kazi hadi majira ya saa 11.

Pamoja na mengine mengi!
Yanga ikiwa inaiwakilisha Tanzania Watafungwa bao la kwanza na USM Alger hii Leo lakini baada upepo kutulia nguvu yao itarejea Yanga watakuja kusawazisha kupitia lango lilelile!

Naandika haya sahivi ni saa 06:44 asubuhi kabla ya mechi jioni saa 10.

Hadi dakika 90+ zitaisha USM Alger 1-1 Yanga moja likiwa ni bao la kusawazisha!
Wewe na baba yako nani atatangulia kufariki? Tabiri sasa kama wewe ni mtabir kweli
 
Mtoa mada anaweza kuwa sahihi maana nakumba aliitabiria Argentina ushindi namna hivi na Kweli Argentina walishinda.

Ila ningependa Sana Yanga washinde hii mechi.
 
Bora wewe umeongea mapema, baada ya dakika 90 usigeuze Maneno kusema Waarabu ni timu dhaifu.
Hiyo ni baada ya kunyakua Kombe.
Leo watasema subiri UTO waende kwao, MWARABU hajawahi kufungwa hata mechi moja nyumbani,mechi za nyumbani zote ameshinda. MWARABU ana ushindi wa asilimia mia nyumbani.
 
Back
Top Bottom