Yanga na mashabiki mnaojazana taifa leo 28 may mnakwenda kushangilia sare (1-1) kama ifuatavyo

yah mechi inaweza kuisha goli moja bila au mechi ikaisha na goli moja moja kama ulivyoandika
 
nakushauri kaangalie tena...
 
Washamba wa mikoani Leo watapigwa , watauziwa N CARD ambazo zilishatumika. Zile zilizonunuliwa jumla Sasa hivi zinalanguliwa
 
Wewe ni mungu wa bahari ipi ?
 
Adui mkubwa wa Yanga ni Simba!!hata katika mechi za Kimataifa wanaturoga tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji617][emoji617][emoji617] Wananchi [emoji617][emoji617][emoji617]
 
Najua mmeshazoea sasa, maana tangu makundi Yanga imekuwa ikiwahamisheni hamisheni timu.
Yaani kila timu iliyopambana na Yanga kwwnye Confederation mmeshangilia nyie, hadi ambazo hazikupambana na Yanga mlizoombea zikutane na Yanga zote mmeshangilia wakati timu yenu hata haishiriki michuano hiyo.

Bahati mbaya kuhamishwahamishwa huko kumewaathiri hadi mkajihamisha matumizi asili ya maumbile yenu
 
Wewe na baba yako nani atatangulia kufariki? Tabiri sasa kama wewe ni mtabir kweli
 
Mtoa mada anaweza kuwa sahihi maana nakumba aliitabiria Argentina ushindi namna hivi na Kweli Argentina walishinda.

Ila ningependa Sana Yanga washinde hii mechi.
 
Bora wewe umeongea mapema, baada ya dakika 90 usigeuze Maneno kusema Waarabu ni timu dhaifu.
Hiyo ni baada ya kunyakua Kombe.
Leo watasema subiri UTO waende kwao, MWARABU hajawahi kufungwa hata mechi moja nyumbani,mechi za nyumbani zote ameshinda. MWARABU ana ushindi wa asilimia mia nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…