Yanga na mechi nne za mashindano bila kuruhusu goli

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.

Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano
 
Vp tuanze kuhesabu unbeaten?
 
Kweli yanga wana ukuta sio wa kawaida.jana nilisikiza mpira kuanzia dk ya 50.sijasikia kipa wa yanga akitajwa hadi dk ya 84.nikawa najiuliza kipa wa yanga leo nani.
Maana angekua anasikiika kila mala kutajwa akisevu mipira.

Wakicheza tena na timu za aina hii kipa wa yange awe anatumwa duka kuwaletea soda wenzio.hakuna sababu ya kusimama golini bila ya sababu ya msingi.
 
Aahaaaaa
 

Kuna kombe la magoli kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Reactions: BRN
Kwa takwimu kipa wa yanga aligusa mpira kwa mikono mara 2 tuuh , lakini alipiga pass 40
 
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…