Yanga na mechi nne za mashindano bila kuruhusu goli

Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.

Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano
KMC, Azam na ASAS nazo ni timu kati ya timu? Mabao matatu aliyofungwa na Simba siyo mabao?
Kama unafikiri penalt ni rahisi, zile na usm alger na SSC, mlifunga ngapi?
 
Una akili nyingi sana. Tunajivunia
 
Simba wamecheza mechi nne na Ubingwa mmoja
 
Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.

Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano
Unajificha kwenye kichaka cha ndani ya dakika 90...kweli wewe Utopolo....kufungwa kufungwa tu haijalishi ulifungwa dakika ya ngapi...kwani yale magoli matatu ya Simba hayakuingilia golini.
 
Una akili sana. Hongera
 
Yanga ikiendelea hivi, ubingwa wa msimu huu utakua na magoli mengi sana.
 
Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.

Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano
Mpuuzi ww SI ANGEKUWA BINGWA WA NGAO. Indio ubwege wa kukimbia SHULE
 
Back
Top Bottom