Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Kwani Mimi sijakufunga?Kama tulikupiga magoli 2, na kisha tukatoa droo nikakudunda kwa penati, kisha wewe ukaipiga KMC magoli 5, huoni kwamba mimi ningeipiga hiyo KMC magoli 7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mimi sijakufunga?Kama tulikupiga magoli 2, na kisha tukatoa droo nikakudunda kwa penati, kisha wewe ukaipiga KMC magoli 5, huoni kwamba mimi ningeipiga hiyo KMC magoli 7?
Mechi 2 za mwisho tulizokutana umenifunga? Au unaongelea Ile mechi ya CCM Kirumba ulipotufunga kwa goli la Gibson Sembuli?Kwani Mimi sijakufunga?
Kwanini uanze kuhesabu match 2 za mwisho na 10 za mwisho halafu uone nani kafungwa mara nyingi?Mechi 2 za mwisho tulizokutana umenifunga? Au unaongelea Ile mechi ya CCM Kirumba ulipotufunga kwa goli la Gibson Sembuli?
HaswaaaKwanini uanze kuhesabu match 2 za mwisho na 10 za mwisho halafu uone nani kafungwa mara nyingi?
Huyu mwamba naona anaenda kufanya nabi asahaulike kabisaaaaaGamondi apewe mkataba wa bandari Sina shida nae kabisa
KMC, Azam na ASAS nazo ni timu kati ya timu? Mabao matatu aliyofungwa na Simba siyo mabao?Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.
Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano
Una akili nyingi sana. TunajivuniaKMC, Azam na ASAS nazo ni timu kati ya timu? Mabao matatu aliyofungwa na Simba siyo mabao?
Kama unafikiri penalt ni rahisi, zile na usm alger na SSC, mlifunga ngapi?
SawaMkikutana na mnyama au ihefu utatafuna maneno yako.
Unajificha kwenye kichaka cha ndani ya dakika 90...kweli wewe Utopolo....kufungwa kufungwa tu haijalishi ulifungwa dakika ya ngapi...kwani yale magoli matatu ya Simba hayakuingilia golini.Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.
Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano
Una akili sana. HongeraUnajificha kwenye kichaka cha ndani ya dakika 90...kweli wewe Utopolo....kufungwa kufungwa tu haijalishi ulifungwa dakika ya ngapi...kwani yale magoli matatu ya Simba hayakuingilia golini.
Ni kweliSimba wamecheza mechi nne na Ubingwa mmoja
Mpuuzi ww SI ANGEKUWA BINGWA WA NGAO. Indio ubwege wa kukimbia SHULEMwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya klabu bingwa Afrika (vs ASAS) bila kuruhusu goli, na hatimaye wamecheza na KMC kwenye mechi ya NBC premier league na kumaliza bila kuruhusu goli.
Kwa upande mwingine, Yanga imeweza kufunga magoli katika mechi tatu kati ya hizo nne. Kwa ujumla timu hii ya Wananchi imeuanza vema msimu huu mpya wa mashindano