Yanga na Simba, Kumbukeni hii ni knockout stage na nyie ni madaraja

Lini umewai kusikia Al ahly kafungwa misri kwenye caf champions league
 
Lini umewai kusikia Al ahly kafungwa misri kwenye caf champions league
Kabla ya mwaka jana lini uliwahi sikia vyura wamefika fainali kombe la shirikisho? Au robo fainali club bingwa? Kama haitatokea msimu huu basi kuna msimu itatokea.
 
Kabla ya mwaka jana lini uliwahi sikia vyura wamefika fainali kombe la shirikisho? Au robo fainali club bingwa? Kama haitatokea msimu huu basi kuna msimu itatokea.

Tunampiga Mamelody 3
 
Ndio. Tumeshapoteza nyumbani, kule tunaenda kutafuta ushindi tu, hatuna kitu cha kulinda kuwa tutakipoteza ila tunaenda kutafuta. Droo tunatoka, tukifungwa tunatoka, option ni moja tu. Kushinda.
Mnacho cha kupoteza..!! Msipoingia nusu fainali, na huku Yanga tuingie, MTATAFUTA PA KUISHI mwakarobo wa hedi nyie..!!!

BTW, kuna msemo unaenda kufa NATURAL death, ule wa sisi tumeingia robo mara nne..!! Msemo huu utakufa naturally baada ya Yanga kutinga nusu. Ni kama ule wa SISI NI WA KIMATAIFA ULIVYOJIFIA KIFO CHA MENDE..!!
 
Upo sawa. Vyura mkipita tutakuwa kwenye hali ngumu mno maana mnajua kukoroma sana. Ndo maana nasema Simba hatuna la kupoteza tena, tunapaswa kushambulia kule uarabuni. Tukifungwa basi tuombee na nyinyi mfungwe. Mkishinda basi tujiandae na mikelele.
 
Wewe ndio mbumbumbu unaeng'ang'ania uSimba na Yanga, mwenzio amefafanua kisomi.
 
Unasema there is no way wakawatoa then unasema kuna 5%. Kaka ulikimbia somo la hesabu, mtu akiwa hata na 0.005%, that's a chance na huwezi kusema there is no way.
Ungesema tu 0% chance ungeeleweka
 
Unasema there is no way wakawatoa then unasema kuna 5%. Kaka ulikimbia somo la hesabu, mtu akiwa hata na 0.005%, that's a chance na huwezi kusema there is no way.
Ungesema tu 0% chance ungeeleweka

Sawa , ndio umekiona hicho tu fault - finder
 
Dah! Hiyo ndo kisomi kumbe!!😁
Nyie SIMBA mwisho wenu ni ROBOFINALI, sasa matusi ya nini tena?
Hiyo iko hivyo, Yanga walau ana nafasi ya kusonga mbele.

Ahly wana faida ya goli la ugenini tayari, kuwatoa inahitajika kazi ngumu, ambayo Simba hawaiwezi, huo ndio ukweli mchungu.
 
Kwambaaali una hoja
 
Kwambaaali una hoja
 
Ya salenda ama bwm
 
Aahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…