Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Leo hii watu wa simba wanakua Wachambuzi wa sokaLa foma gold..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hii watu wa simba wanakua Wachambuzi wa sokaLa foma gold..!!!
Ulipoanza kuongelea uchawi nikajua we ni lofa tu hujui chochote kuhusu sports investment or investment generally. Nakushauri utengeneze bango kubwa uungane na waganga kutoka Rukwa na Bagamoyo wanautibu upungufuvwa nguvu za kiume na kuwavuta wapenzi achana kabisa na mambo ya mpira.There is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}.
Significance level of 95% ipo kwa Mamelody and Alhly . That is hard truth.
Mpira wa Yanga na SSC ni butu butu, haupo strategically, ni mpira wa mipasho na media snaa with poor investment..
Next year tutakuja kwenye sajili, tutaanza drama.
WAkati huo Ahly na Mamelody wanakuwa wapo kwenye searching engine na screening
Wanasema Pacome hayupo na Aucho….. so what ?
ila sisi wa bongo tuna excuses sana halafu ni kama hatupo matured, yaani uwepo wa pacome ndio tungeifunga Mamelody , ?
Mbona tunakuwa losers kama yule aliyesema SSC kafungwa 5 kwa sababu kibu aliumia….. mambo ya ajabu. Pacome ni investment ya mil 9 kwa mwezi, angekuwa ni key player asingecheza Yanga.
Kwa muda gani hatujawahi kuuza mchezaji kwenye klabu za maana.
Tulimuuza mikison kwenda Ahly , aliweza?
Tiukamuuza Mayele kwa klabu ya kawaida Misir, ameweza? Si amegeuka mzee wa mipasho na hii tabia mmemfundisha nyie.
Tunawekeza kwenye UCHAWI hadi wachezaji wanatunanga: na kwa taarifa yenu hizi timu zinakuja na vitu vyao kwa sababu wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy.
Mbona wakienda misiri hawabebi, au wakienda SA , Moroco, algeria ….Wameshaambiwa watanzania ni WACHAWI….
Tubadilike, tuwe scientifically , professional football inahitaji science na sio Uchawi.
Me mwenyewe nimeshindwa hata kuendelea, ........ gazeti kubwa halafu ujinga mtupuHuu muda mnatumia kuandika hizi pumba mngetumia kufanya maombi kuombea kazi zenu.
Kama ulikuwa na mantiki ila umekosea Kwa kusema matokeo ya yanga ni sawa na ya Simba,yanga ana faida maana ana sare tasa nyumbani kwahy sare isiyo tasa ya ugenini Bado yanga atatoboa,Simba yeye kwa haraka haraka amesha kufa kiume.There is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}.
Significance level of 95% ipo kwa Mamelody and Alhly . That is hard truth.
Mpira wa Yanga na SSC ni butu butu, haupo strategically, ni mpira wa mipasho na media snaa with poor investment..
Next year tutakuja kwenye sajili, tutaanza drama.
WAkati huo Ahly na Mamelody wanakuwa wapo kwenye searching engine na screening
Wanasema Pacome hayupo na Aucho….. so what ?
ila sisi wa bongo tuna excuses sana halafu ni kama hatupo matured, yaani uwepo wa pacome ndio tungeifunga Mamelody , ?
Mbona tunakuwa losers kama yule aliyesema SSC kafungwa 5 kwa sababu kibu aliumia….. mambo ya ajabu. Pacome ni investment ya mil 9 kwa mwezi, angekuwa ni key player asingecheza Yanga.
Kwa muda gani hatujawahi kuuza mchezaji kwenye klabu za maana.
Tulimuuza mikison kwenda Ahly , aliweza?
Tiukamuuza Mayele kwa klabu ya kawaida Misir, ameweza? Si amegeuka mzee wa mipasho na hii tabia mmemfundisha nyie.
Tunawekeza kwenye UCHAWI hadi wachezaji wanatunanga: na kwa taarifa yenu hizi timu zinakuja na vitu vyao kwa sababu wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy.
Mbona wakienda misiri hawabebi, au wakienda SA , Moroco, algeria ….Wameshaambiwa watanzania ni WACHAWI….
Tubadilike, tuwe scientifically , professional football inahitaji science na sio Uchawi.
Wewe ni mtu wa SIMBA na unajua wazi nyinyi ni wabovu na hamuwezi kuitoa Ahly.
Unasema no way team hizi zinaweza kuwatoa Ahly na Mamelod, sasa mbona unazipa certain/chance/probability ya 0.05? si ungesema ni 0. Aya mambo ya kung'ang'ana kuichambua YANGA kimahesabu wakati mtu ni la Saba F muache(just jokes).
Sundowns na vipasi pasi vyao hawatishi kama tunavyoaminishwa. Vyura wanaweza kupita wakichanga karata zao vizuri.
Simba pale uarabuni ni pagumu ila hatuna cha kupoteza twende tukashambulie tukipigwa za kutosha sawa ila twende tukashambulie kwa nia ya kushinda.
Uwekezaji sio kila kitu kwenye mpira
Tujifunze kukubali vya kwetu mpira wa Tanzania ngazi ya vilabu umekuwa
Yanga na simba hawajazidi uwekezaji wydad, pyramid, Orlando, Zamalek Borzedad, Raja Casablanca n.k lakini hawa wote hawakuiona quarter final
Luverkusen anaenda kuwa bingwa German hajawekeza kuliko Buyern munich
Leicister city ashakuwa bingwa EPL
Sasa nakwambia hivi Yanga anaenda semi final
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. Tumeshapoteza nyumbani, kule tunaenda kutafuta ushindi tu, hatuna kitu cha kulinda kuwa tutakipoteza ila tunaenda kutafuta. Droo tunatoka, tukifungwa tunatoka, option ni moja tu. Kushinda.
Ukiwa mpenzi wa Simba au Yanga, kwa hatua hii waliofikia naona ni ujingaThere is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}.
Significance level of 95% ipo kwa Mamelody and Alhly . That is hard truth.
Mpira wa Yanga na SSC ni butu butu, haupo strategically, ni mpira wa mipasho na media snaa with poor investment..
Next year tutakuja kwenye sajili, tutaanza drama.
WAkati huo Ahly na Mamelody wanakuwa wapo kwenye searching engine na screening
Wanasema Pacome hayupo na Aucho….. so what ?
ila sisi wa bongo tuna excuses sana halafu ni kama hatupo matured, yaani uwepo wa pacome ndio tungeifunga Mamelody , ?
Mbona tunakuwa losers kama yule aliyesema SSC kafungwa 5 kwa sababu kibu aliumia….. mambo ya ajabu. Pacome ni investment ya mil 9 kwa mwezi, angekuwa ni key player asingecheza Yanga.
Kwa muda gani hatujawahi kuuza mchezaji kwenye klabu za maana.
Tulimuuza mikison kwenda Ahly , aliweza?
Tiukamuuza Mayele kwa klabu ya kawaida Misir, ameweza? Si amegeuka mzee wa mipasho na hii tabia mmemfundisha nyie.
Tunawekeza kwenye UCHAWI hadi wachezaji wanatunanga: na kwa taarifa yenu hizi timu zinakuja na vitu vyao kwa sababu wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy.
Mbona wakienda misiri hawabebi, au wakienda SA , Moroco, algeria ….Wameshaambiwa watanzania ni WACHAWI….
Tubadilike, tuwe scientifically , professional football inahitaji science na sio Uchawi.
Kama baadhi ya wachezaji wa hizo timu mbele ya kamera wanaamini kulogwa na mataulo ya makipa maana yake nyuma ya kamera kuna makubwa zaidi ya hayo. Hizo timu zinaendeshwa kiuswahili swahili.
Waje hata na hewa yao ya kuvuta maana hewa ya Tz imejaa uchawiTunawekeza kwenye UCHAWI hadi wachezaji wanatunanga: na kwa taarifa yenu hizi timu zinakuja na vitu vyao kwa sababu wanaambiwa watanzania ni wachawi sana na mpira wao unatumia dark energy.
Ulipoanza kuongelea uchawi nikajua we ni lofa tu hujui chochote kuhusu sports investment or investment generally. Nakushauri utengeneze bango kubwa uungane na waganga kutoka Rukwa na Bagamoyo wanautibu upungufuvwa nguvu za kiume na kuwavuta wapenzi achana kabisa na mambo ya mpira.