[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Timu zote za Tanzania zimeshafuzu kutolewa kwenye michuano. Waarabu huwa game plan zao ni kupunguza kufungwa idadi ndogo za magoli ili kwao wamalize mchezo. Simba inahitaji ushindi au sare ya zaidi ya goli tatu wakati Yanga wanahitaji ushindi wa zaidi ya goli moja ugenini jambo ambalo ni ngumu kwa timu zote mbili
Hata huko watagongwa tu pia. Viongozi Wa Yanga hawasemi ukweli kuhusu Ngoma na Kamusoko. Wiki nne sasa wanasema wako fiti wanafanya mazoezi lakini kwenye mechi hawamo.Yanga anaweza pindua maana alishafanya hivyo Zimbabwe miaka ya mwanzoni mwa 2000 baada ya sale tasa Dar akaenda mpiga mtu 2-0 Zimbabwe!!but kwa Simba sii rahisi,by the way ata Yanga akitolewa atadondokea shirikisho!!
Mkuu huo ubingwa utakua umeoza nini!!!!?Kidogo Yanga ana unafuu, akikomaa goli 2 - 0 anaweza kushinda kwa mablack wenzie wabotswana wasiotahiriwa wale. Ila huyu aliyepambanishwa na waarabu nafikiri safari imeishia hapo na ikitokea ameitoa hii timu El Masry basi simba atakuwa bingwa kombe la shirikisho
Nimemaanisha thimba haiwezekani kumfunga Al Masry, hii timu katika mechi 50 mfululizo alizocheza amefungwa mechi 5 tu home tena na waarabu wenzieMkuu huo ubingwa utakua umeoza nini!!!!?
Bila Mkude Jana tungepigwa nyingi sana.Kinachowaua simba ni kucheza slow, wale waarabu wakiwakimbiza wanaweza kuwatoa. Mpira ya kurudisha nyuma anayocheza mkude nayo ni tatizo kubwa.