Yanga na Simba nani ana nafasi kubwa ya kupindua matokeo ugenini?

Yanga na Simba nani ana nafasi kubwa ya kupindua matokeo ugenini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Yanga imefungwa bao 2-1 nyumbani na Simba imetoka sare ya 2-2 na wapinzani wao. Hivyo timu zetu zote ni kama tu zimefungwa nyumbani zikitarajia kupindua matokeo kwenye mechi zao za marudiano ugenini.

Ni timu yetu ipi kati ya simba na yanga unadhani ina uwezekano mkubwa wa kusonga mbele kwenye mashindano yao?
Nini kifanyike kwa timu zetu ili kupata matokeo ugenini?
 
Sana sana kilichobaki hapo ni makelele ya mashabiki tu, nyie mmezidi, afadhali sisi tumetoka ila kwa mbinde..!!
 
Timu zote za Tanzania zimeshafuzu kutolewa kwenye michuano. Waarabu huwa game plan zao ni kupunguza kufungwa magoli mengi ili kwao wamalize mchezo. Simba inahitaji ushindi au sare ya zaidi ya goli tatu wakati Yanga wanahitaji ushindi wa zaidi ya goli moja ugenini jambo ambalo ni ngumu kwa timu zote mbili
 
Hakuna timu yenye ubavu kushinda ugenini
 
tufikilie kusajiri waarabu katika timu zetu,endapo tukipata fursa za uwekezaji katika club zetu.
Wanatusumbua sana.
Kwenye swali mpaka sasa naona timu zote zimefuzu kutolewa
 
Simba na yanga mwisho wa siku watakuwa wafu,ila tofauti SIMBA ATAKUWA AMEKUFA KIUME (Maneno ya kujifariji).
 
Timu zote za Tanzania zimeshafuzu kutolewa kwenye michuano. Waarabu huwa game plan zao ni kupunguza kufungwa idadi ndogo za magoli ili kwao wamalize mchezo. Simba inahitaji ushindi au sare ya zaidi ya goli tatu wakati Yanga wanahitaji ushindi wa zaidi ya goli moja ugenini jambo ambalo ni ngumu kwa timu zote mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kidogo Yanga ana unafuu, akikomaa goli 2 - 0 anaweza kushinda kwa mablack wenzie wabotswana wasiotahiriwa wale. Ila huyu aliyepambanishwa na waarabu nafikiri safari imeishia hapo na ikitokea ameitoa hii timu El Masry basi simba atakuwa bingwa kombe la shirikisho
 
Ushabiki pembeni, safari ishawadia kwa timu zote
 
Yanga anaweza pindua maana alishafanya hivyo Zimbabwe miaka ya mwanzoni mwa 2000 baada ya sale tasa Dar akaenda mpiga mtu 2-0 Zimbabwe!!but kwa Simba sii rahisi,by the way ata Yanga akitolewa atadondokea shirikisho!!
 
Hata huko watagongwa tu pia. Viongozi Wa Yanga hawasemi ukweli kuhusu Ngoma na Kamusoko. Wiki nne sasa wanasema wako fiti wanafanya mazoezi lakini kwenye mechi hawamo.
 
Kidogo Yanga ana unafuu, akikomaa goli 2 - 0 anaweza kushinda kwa mablack wenzie wabotswana wasiotahiriwa wale. Ila huyu aliyepambanishwa na waarabu nafikiri safari imeishia hapo na ikitokea ameitoa hii timu El Masry basi simba atakuwa bingwa kombe la shirikisho
Mkuu huo ubingwa utakua umeoza nini!!!!?
 
Kinachowaua simba ni kucheza slow, wale waarabu wakiwakimbiza wanaweza kuwatoa. Mpira ya kurudisha nyuma anayocheza mkude nayo ni tatizo kubwa.
 
Kinachowaua simba ni kucheza slow, wale waarabu wakiwakimbiza wanaweza kuwatoa. Mpira ya kurudisha nyuma anayocheza mkude nayo ni tatizo kubwa.
Bila Mkude Jana tungepigwa nyingi sana.
Alifanya kazi kubwa pungufu pekee Jana nikutokuwepo kwa Mzamiru ambaye katika game zote simba walixoshinda alikuwepo uwanjani na huyo ndiyo msaada kwa simba.
Kotei alifanya makosa mawili ndiyo yaliyotugharimu
 
Back
Top Bottom