kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Yanga imefungwa bao 2-1 nyumbani na Simba imetoka sare ya 2-2 na wapinzani wao. Hivyo timu zetu zote ni kama tu zimefungwa nyumbani zikitarajia kupindua matokeo kwenye mechi zao za marudiano ugenini.
Ni timu yetu ipi kati ya simba na yanga unadhani ina uwezekano mkubwa wa kusonga mbele kwenye mashindano yao?
Nini kifanyike kwa timu zetu ili kupata matokeo ugenini?
Ni timu yetu ipi kati ya simba na yanga unadhani ina uwezekano mkubwa wa kusonga mbele kwenye mashindano yao?
Nini kifanyike kwa timu zetu ili kupata matokeo ugenini?