changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hatima ya Simba na Yanga zitaamuliwa na mechi inayofuatia. Wote Simba na Yanga wana advantage inayofanana.
Kutakuwa na mechi mbili za vita ya wenyewe kwa wenyewe (waongoza kundi) ambapo Al Ahly atakipiga na Belouizdad huku Galaxy akikipiga na Asec.
Hapa ni lazima wagawane point au mmoja apoteze kabisa. Simba wanatakiwa washinde kwa Mkapa dhidi ya Wydad huku kule Morocco aende kutafuta chochote kitu.
Upande wa Yanga nao ni lazima wakomae wamfunge Medeama nje ndani. Wakishindwa kufanya hivyo hawavuki.