Yanga na Simba SC hamtoboi

Hatima ya Simba na Yanga zitaamuliwa na mechi inayofuatia. Wote Simba na Yanga wana advantage inayofanana.

Kutakuwa na mechi mbili za vita ya wenyewe kwa wenyewe (waongoza kundi) ambapo Al Ahly atakipiga na Belouizdad huku Galaxy akikipiga na Asec.
Hapa ni lazima wagawane point au mmoja apoteze kabisa. Simba wanatakiwa washinde kwa Mkapa dhidi ya Wydad huku kule Morocco aende kutafuta chochote kitu.

Upande wa Yanga nao ni lazima wakomae wamfunge Medeama nje ndani. Wakishindwa kufanya hivyo hawavuki.
 
Simba msimu uliopita, mechi 2 za mwanzo alipigwa lakini akatinga robo fainali.
 
Simba ajitahid mechi ya away apate hata point 1 na ya nyumbani ashinde apate point 4 toka kwa wydad
 
Utatoboa wewe na roho yako ya Kimasikini. Huwezi kujaj kundi kwa game 2. Looser
 
Simba msimu uliopita, mechi 2 za mwanzo alipigwa lakini akatinga robo fainali.

Sasa lile kundi lilikuwa ni hopeless kundi. Hakuna huo mchezo this year . Timu Zote zinaitaka robo fainal.

Hiyo timu ya Ghana Yanga Lito boa ni ngumu wapo vema
 
Kihesabu na title ya simba hata kama sisi tunamuona mbovu namuona kabisa anaingia robo fainal
 
Mimi naona timu zote Simba na Yanga bado zina nafasi,ukiangalia matokeo kwenye makundi yao siyo ya kuzikatia tamaa labda na michezo yao inayofuata wakipigwa ndiyo watakuwa kwenye danger zone
 
Sasa lile kundi lilikuwa ni hopeless kundi. Hakuna huo mchezo this year . Timu Zote zinaitaka robo fainal.

Hiyo timu ya Ghana Yanga Lito boa ni ngumu wapo vema
Timu ambayo ilikuwa inapewa nafasi kubwa kwenye kundi hili ni Waidad ambaye anaburuza mkia hivyo lolote linaweza kutokea. So far timu zote kwenye kundi hili zina nafasi ya kuingia robo fainali.
 
Simba anamechi moja tu akiishinda basi ujue katoboa. Akimfungwa wydadi nyumbani basi Katoboa. Ukichanga karata Kwa kutazama mechi za wydadi zitakazosalia baada ya kufungwa na Simba utakubali Simba robo final ipo wazi
 
Hii tebo inakatisha tamaa sana. Grupu A ndilo gumu sana kwani miamba wamatunishiana misuli kikamilifu lakini makokeo ya grupu B an grupu D ambako ndiko tunapowakilishwa kweli ni ya kukatisha tamaa sana. Simba bado wana nafasi ya kuweza kutoboa kwa kushinda ugeninini mara moja tu ila timu yangu ya Yanga inahitaji kushinda ugenini mara mbili. Kwenye msimu uliopita walishinda ugeninini mara nne na Simba walishnida ugeninini mara moja, hata hivyo hali ya mashindano mwaka huun hayatabiriwi na matokeo ya msimu wa mwaka jana,


 
Simba huijui ndugu....

Tunaponzwa na hiki ki mgogoro kidogo tu

Tukikaa sawa kabla mechi hazijaisha utaongea mengine.
Kwa aina ya gemu zilizobakia na mfufulizo wenu wa matokeo kwenye haya mashindano sioni mkipita, game pekee ambayo mnaweza kushinda ni marudiano na Galaxy.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…