Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Asante sana Mzee Mohamed Said
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri uelewe.Tuzo ni award, si reward.
Ede...
Gag...Tuzo ni award, si reward.
Kuna pahala umemtaja mchezaji wa Sunderland kwa jina Kilomoni. Alikuwa na undugu na hawa kina Jamhuri Kiwelu?Ede...
Zamani hapa Dar es Salaam tulikuwa na vilabu vya mitaani na vyote vina makina ya Ulaya hasa Uingereza - Liverpool, Dundee United, Chelsea nk.
Na tulikuwa na Denis Law, Danny Blanchflower, Eusobio, Mazola.
Gag...Kuna pahala umemtaja mchezaji wa Sunderland kwa jina Kilomoni. Alikuwa na undugu na hawa kina Jamhuri Kiwelu?
Nakumbuka Jamhuri kabla ya kuchezea timu kubwa alikuwa akifanya mazoezi na timu ya Simba viwanja vya shule ya Uhuru, wachezaji wenzake wakimuita Kilomoni.
Halipo, hilo lilikuwa pale jengo la soko kubwa lililounguwa.Soko hilo pichani bado lipo sema Matangazo ya Biashara yanaficha mengi
Lililounguwa 😆😆Halipo, hilo lilikuwa pale jengo la soko kubwa lililounguwa.
Kuna uhusiano wowote hapa na Mzee Hamisi Kilomoni wa Simba?Gag...
Hilo jina la KIlomoni vijana wengi wakilichukua kama jina lao la mpira.
Alikuwapo Said Kilomoni lakini jina lake khasa ni Said Marjebi.
Kulikuwa pia na Hassan Gilbert.
Gilbert Mahinya alikuwa half back hodari sana wa Sunderland kisha akahamia Yanga.
Kwa umri wangu wa miaka 70 mimi kwako ni baba.Babu shikamoo kwani wewe kipindi hicho ulikuwa unashikilia wadhifa gani baina ya team izo mbili Sunderland na yanga mbona unasimulia kama ulikuwa kitengo fulani
Babaangu ana miaka 47 Mim nna miaka 21 baba yangu ananizid miaka 26 wew unamzid Baba yangu miaka 23 wewe n Babu yangu kabisaKwa umri wangu wa miaka 70 mimi kwako ni baba.
Wanao ndiyo wajukuu zangu siwezi kwa umri huu kuwa na mjukuu makamo yako.
Miaka hiyo mimi ni mtoto mdogo.
Hiyo ID yako pengine ilimfanya adhani una miaka 47!Babaangu ana miaka 47 Mim nna miaka 21 baba yangu ananizid miaka 26 wew unamzid Baba yangu miaka 23 wewe n Babu yangu kabisa
Kama ana miaka 21 huo ni umri wa mwanangu wa mwisho.Hiyo ID yako pengine ilimfanya adhani una miaka 47!
Kwahiyo Beda Amour alijenga hilo soko mwaka 50?Tangawizi,
Hilo ni Soko la Kariakoo kama lilivyokuwa hapo zamani.
Nakuunga mkono MAHAMED Said kiswahili fasaha ni kutuza, na ni kweli kabisa timu zetu enzi zetu zilitumia majina ya timu za bara Ulaya, Dodoma tulikua na timu inaitwa Dundee na ilivuma kote Nchini miaka ya 1976Ede...
Zamani hapa Dar es Salaam tulikuwa na vilabu vya mitaani na vyote vina makina ya Ulaya hasa Uingereza - Liverpool, Dundee United, Chelsea nk.
Na tulikuwa na Denis Law, Danny Blanchflower, Eusobio, Mazola.
Tangawizi,Kwahiyo Beda Amour alijenga hilo soko mwaka 50?
Kutunza ndiyo sahihi, hata kwa mtazamo wa Mohamed Said. Si kutuza kama uonavyo wewe.Nakuunga mkono MAHAMED Said kiswahili fasaha ni kutuza, na ni kweli kabisa timu zetu enzi zetu zilitumia majina ya timu za bara Ulaya, Dodoma tulikua na timu inaitwa Dundee na ilivuma kote Nchini miaka ya 1976